Erick Kabendera ametupa yale tuliyopenda kuyasikia kuhusu Hayati Magufuli; yasitufanye tukashindwa endelea tafuta ukweli

Erick Kabendera ametupa yale tuliyopenda kuyasikia kuhusu Hayati Magufuli; yasitufanye tukashindwa endelea tafuta ukweli

Hata kama ni udikteta,ila hakuna mjinga anaweza kufanya kama alichoandika Erick kwamba alimteka na kumpeleka ikulu na kumpiga risasi mwenyewe...........kwa uelewa wangu dicteta anakuwa na watu wake wanaofanya hivyo movements
 
Pointi yako ni hipi mkuu? Kwahiyo kabendera ndo anajifanya anamjua aliyewahi kuwa mkuu wa nchi kachaguliwa na wananchi kwa kura nyingi awamu ya kwanza alafu awamu ya pili wananchi wakamchagua kwa kura nyingi!!
Pointi yako ni hipi!!! Khaa Kiswahili kumekuwa kigumu kuliko kidigo
 
Hata kama ni udikteta,ila hakuna mjinga anaweza kufanya kama alichoandika Erick kwamba alimteka na kumpeleka ikulu na kumpiga risasi mwenyewe...........kwa uelewa wangu dicteta anakuwa na watu wake wanaofanya hivyo movements
Sawa, ila bado ni assumption. Hazina nguvu ya kumpiga Kabendera knock out kwa taarifa aliyoandika.

TAL alipopigwa risasi kuna watu tulipata tabu kuamini kuwa ni kazi ya serikali sababu tunajua Serikali ikitaka kukuua haina sababu ya kutumia marisasi mengi yasiyo na shabaha ilihali ina wataalam wa kuua kwa risasi za mbali zenye shabaha. Lakini je, ni kweli serikali haikuhusika? Zinabaki kuwa assumption.
 
Pointi yako ni hipi mkuu? Kwahiyo kabendera ndo anajifanya anamjua aliyewahi kuwa mkuu wa nchi kachaguliwa na wananchi kwa kura nyingi awamu ya kwanza alafu awamu ya pili wananchi wakamchagua kwa kura nyingi!!
Una uhakika alichaguliwa????
 
Ukienda hospital ukiwa unachemka na kichwa kinauma ukiambiwa una malaria unapata relief shida imeonekana.

Ukienda kwa Mganga umefiwa mtoto mkawa mnamuhisi jirani na mganga akawaambia yule jirani asiye na mtoto ndiye kamuondoa mnapata nguvu mbaya wenu kajulikana.

Kitabu cha IN THE NAME OF THE PRESIDENT cha Erick Kabendera kimebeba majibu ya hisia za watu hivyo ni vyema hisia zikawekwa pembeni ni kujiridhisha kuhusu ukweli wake au uongo wake.

Wahuni wamepewa hitaji la moyo wao. Sasa watalala milango waazi na usingizi mnono.
 
Pointi yako ni hipi mkuu? Kwahiyo kabendera ndo anajifanya anamjua aliyewahi kuwa mkuu wa nchi kachaguliwa na wananchi kwa kura nyingi awamu ya kwanza alafu awamu ya pili wananchi wakamchagua kwa kura nyingi!!
awamu ya kwanza unauhakika alishinda kwa kura nyingi? au ilifanyika funika kombe, umeyasahau ya Zecha Zanzibar?
 
images (3).jpeg
 
Sijakisoma na wala sitakisoma maana tayari kinaonekana kimebeba hisia za mtu ma tayari kimehakisi hasira na hatia za mtunzi wa kitabu.

Yaani ni sawa na unatumga kitabu kisa babako alikuchapa sana ukiwa chini ya himaya yake.

Unaenda huko kijijini kwenu (kwa babako) kwenda kufuatilia maisha yake kisa ni kumchafua sababu "alikuua" kwenye malezi yake, 😂 ahahahah!.

Bado naendelea kujifunza!.
No one Cares kama hutokisoma. Sisi wengine tutasoma.
 
Back
Top Bottom