Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Bangi mbona hata masheikh,mapadre walimu na ma doctor wanavuta sana tu,labda ungeandika ulichokuwa unataka kuandika ila siyo Bangi
 
Ukimsoma katikati ya mistari unagundua ni mwanaharakati sawa na Maria Sarungi na wengine wa aina hiyo.
 
Kwahiyo unakubaliana na mimi sio kuwa Magufuli alikuwa mtekaji, mzulumaji na alienda kwa samia na pajama akitaka kumbaka wakti huo akiwa makamu wake wa urais?
 
Si nimesoma humu viongozi wa kutoka bara ni wabaya,then wale wa upande ule ndio wazuri,sasa isiwe issue,
Pitisheni sheria viongozi watoke upande ule,nyinyi wabara mbaki kuongozwa si hamfai....hahaha!

Na uzuri mnajipigia debe hamfai,mnapochafua image ya viongozi wenu mnategemea nini,nachowapendea upande ule wanajua kuteteana balaa.

Sasa njoo upande huu,kusagiana kunguni tu.

Anyway mitano tena.
 
Kumechangamka sana, Dotto James hajaguswa mpaka sasa?
 
Kweli JPM hawezi sahaulika

Pamoja na kuwa mfu bado anazidi kuongelewa kila kukicha.
 
George Bush jr alivuta na Obama alivuta. It's not a big deal to smoke that thing.
 
Kwahiyo unakubaliana na mimi sio kuwa Magufuli alikuwa mtekaji, mzulumaji na alienda kwa samia na pajama akitaka kumbaka wakti huo akiwa makamu wake wa urais?

Dr. Kabendera katunfungua macho.

Yaani CCM pamoja na kumjua bado wakamkabidhi nchi kwa uriho wao wa madaraka. Kikwete na waliomshauri inabidi wawajibishwe
 
Kwahiyo unakubaliana na mimi sio kuwa Magufuli alikuwa mtekaji, mzulumaji na alienda kwa samia na pajama akitaka kumbaka wakti huo akiwa makamu wake wa urais?
Una ushahidi wa Magufuli kutaka kumbaka mama Samia!?
Utekaji na kashfa zingine za dhulma zinawezekana ashutumiwe Trump sembuse Magufuli!?
 
Obama walivuta but it was controlled. Wabongo wengi wanavuta but matokeo tofauti? Wanakosea wapi?
 
Wewe unafikiri wazazi na ndugu wa Ben Saanane wanajisikiaje!? Yule mbwa alikuwa katili kweli.
 
Can Hitler defend himself!? If not, why is it a big deal when the dark side of magufuli is revealed!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…