The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Bangi mbona hata masheikh,mapadre walimu na ma doctor wanavuta sana tu,labda ungeandika ulichokuwa unataka kuandika ila siyo Bangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikilize Sheikh Ghassani akifanya mahojiano na Eric Kabendera kuhusu kitabu chake na mengi mengine.
View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=4QpdGYaV7b42UJjx
Ukimsoma katikati ya mistari unagundua ni mwanaharakati sawa na Maria Sarungi na wengine wa aina hiyo.Na ilikuwaje mtu mwenye matatizo ya akili akawa mwalimu, mbunge, waziri then rais wa nchi?
Kabendera ni chizi tu aliyekatiza dozi, angekuwa sio chizi angesema... "wote waliowahi kuwa wenyeviti wa CCM kitaifa walikuwa na matatizo ya akili... Hata mwenyekiti wa sasa ana matatizo ya akili.."
Mwisho angekazia kwa kusema yeye ni chizi pia na wabongo wote ni machizi 😂😂
Kwahiyo unakubaliana na mimi sio kuwa Magufuli alikuwa mtekaji, mzulumaji na alienda kwa samia na pajama akitaka kumbaka wakti huo akiwa makamu wake wa urais?Acha uongo kenge maji wewe.
Toka enzi za kikwete watu walikua wakitekwa.
Toka enzi za Mkapa watu walikua walitekwa.
Unamjua Doctor Ulimboka wewe!?
Je alitekwa na Magufuli yule!?
Mnaropoka ropoka tu vitu msivyokua na uhakika navyo.
Kuhusu ubadhilifu wa uchaguzi mbona huzungumzii vifo alivyosababisha Mkapa kule Zanzibar wakati wa uchaguzi ili kuiweka CCM madarakani!?
Kumechangamka sana, Dotto James hajaguswa mpaka sasa?Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Hii ishu nakutana nayo juu juu kwanini hamfungulii uzi itembee?Wendawazimu kama wewe ndiyo mtaamini alitaka kumbaka makamu wake.
Kwani huyo Kabebdela yuko hapa hapa au Ubelgiji?Kumbe tutajua yote
George Bush jr alivuta na Obama alivuta. It's not a big deal to smoke that thing.Bill Clinton alivuta, Kamila Mhindi Mjamaica alivuta,
Nyerere Naye alikuwa na Tatizo lakini alijuwa jinsi ya kuli mudu tatizo lake.
Na kiukweli Binadamu wengi wana matatizo Yao ya kiasili au kimaumbile, lakini wanajua jinsi ya kuyathibiti kwa namna fulani mapungufu yao
Kwahiyo unakubaliana na mimi sio kuwa Magufuli alikuwa mtekaji, mzulumaji na alienda kwa samia na pajama akitaka kumbaka wakti huo akiwa makamu wake wa urais?
The best comment of the dayWendawazimu tu ndio waliona magufuli kama mtu wa maana. Wenye akili wote walijuwa kuwa magufuli ni takataka.
Una ushahidi wa Magufuli kutaka kumbaka mama Samia!?Kwahiyo unakubaliana na mimi sio kuwa Magufuli alikuwa mtekaji, mzulumaji na alienda kwa samia na pajama akitaka kumbaka wakti huo akiwa makamu wake wa urais?
Obama walivuta but it was controlled. Wabongo wengi wanavuta but matokeo tofauti? Wanakosea wapi?Bill Clinton alivuta, Kamila Mhindi Mjamaica alivuta,
Nyerere Naye alikuwa na Tatizo lakini alijuwa jinsi ya kuli mudu tatizo lake.
Na kiukweli Binadamu wengi wana matatizo Yao ya kiasili au kimaumbile, lakini wanajua jinsi ya kuyathibiti kwa namna fulani mapungufu yao
Wewe unafikiri wazazi na ndugu wa Ben Saanane wanajisikiaje!? Yule mbwa alikuwa katili kweli.Moyo wangu una amani Sana juu ya Maisha ya JOHN POMBE MAGUFURI nasema haya kwa sababu ni aina ya watu wachache walio tuonyesha kua work must be done/ punda afe mzigo ufike. Waafrika wengi na watu weusi Wana ka uzembe ka kuzaliwa nako.
Hakua na longo longo ni mtu mwenye huruma na alituonyesha trela.. WATANZANIA wengi tunampenda/wanampenda Sanaa jamaa alikua jiwe kweli kweli/ chuma kweli kweli.. likitajwa jina lake mafisadi yanatetemeka..wapiga Dili wana jikojolea.. likitajwa jina la MAGUFURI WAZALENDO wanagonga cheers
NB.
Kabendera anacho kifanya binafsi nimejikuta na kerwa/ kasirika/ chukia/ je watu wa familia ya JPM/ wanajisikiaje/ watajisikiaje / haikubarik na huu upotoshaji... kabendera must pay for it.
Hiyo kutaka kubaka nami nilisikia live......sio siri kabisaWendawazimu kama wewe ndiyo mtaamini alitaka kumbaka makamu wake.
Wameibua hii issue kipindi mbowe amekalia pabaya ili kuahamisha mjadalaMi hata sielewi. Kwanini kumzuungumzia vibaya mtu ambaye hayupo katika ulimwengu huu? Ni nini wanahitaji? Kufuta legacy au kuwakwaza tu waliokuwa wafuasi wake?
Can Hitler defend himself!? If not, why is it a big deal when the dark side of magufuli is revealed!?"Magufuli is not Burundian"
My point is that Erick is Burundian and is being used by thugs to tarnish Magufuli's reputation, considering that Magufuli has already passed away and cannot defend himself!
I expected Samia to take strong action against Erick for spreading nonsense online."