Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nyie mnaoleta utetezi ni wajinga sana.....marehemu alitenda mazuri na mabayaNaona hadi wasiopendwa leo wanatumika kuweka references, dunia ina majanga hii.
Huyo kabendera amechokonoa hayo ili kufidia madhira aliyofanyiwa, ila haiwezi kuondoa uongo/ukweli kwamba si John tu aliyewahi kuvuta bangi au kufukuzwa shule na bado akawa kiongozi.
Kuwa smart shule au mwema siyo kigezo cha kuwa kiongozi.
Uongozi ni karama.
Hata Samia katili,hata Nyerere alikua katili pia Kikwete vivyo hivyo kwa Mkapa.Wewe unafikiri wazazi na ndugu wa Ben Saanane wanajisikiaje!? Yule mbwa alikuwa katili kweli.
Hivi ni vituko uswahilini!Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Eti hayupo hapa kujitetea"Magufuli is not Burundian"
My point is that Erick is Burundian and is being used by thugs to tarnish Magufuli's reputation, considering that Magufuli has already passed away and cannot defend himself!
I expected Samia to take strong action against Erick for spreading nonsense online."
Kumbe !Wameibua hii issue kipindi mbowe amekalia pabaya ili kuahamisha mjadala
Wewe utakua vyeti feki sio buree Maana nyinyi ndio mna mimba za chuki na kipi kilimuwasha kufuatilia na kukejeli PhD ya JPM.Wewe unafikiri wazazi na ndugu wa Ben Saanane wanajisikiaje!? Yule mbwa alikuwa katili kweli.
Hakuwahi kuwa msukuma huyo alikuwa mzilakende.Mkuu ondoa ukabila Wasukuma wenyewe hata hatumjui Magufuli katoka ukoo gani.
Hakuna Wasukuma ninaowajua wenye tabia hizo.Hakuwahi kuwa msukuma huyo alikuwa mzilakende.
Sasa upepo unavuma kiasi cha kufunua na kila mtu kuanzs kuona nyeti za kuku..!!Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Wasukuma wanaoua albino na wazee kwa kusingizio cha uchawi?Hakuna Wasukuma ninaowajua wenye tabia hizo.
Wasukuma tabia zao kama wana nafasi ni kuwapa watu good time.
Sisi kwetu Oysterbay tulikuwa tunafanya parties za geti wazi, watu wanakuja wanakula wanakunywa hata hawaulizwi kadi. Na sio sisi tu, ilikuwa ukienda kwa Jaji Mihayo hivyo hivyo, ukienda kwa Jaji Nyalali hivyo hivyo. Ukienda kwa Andrew Shija hivyo hivyo. Ukienda kwa Bomani hivyo hivyo.Ukienda kwa Mageni hivyo hivyo. Wote Wasukuma hao. Hakuna mtu mjinga hapo.
Basi kwa miaka mingi nikafikiri yale yalikuwa ni maisha ya zamani, wazazi walikuwa wanafanya vile miaka ya Mwinyi ya mwanzo.
Nikarudi nyumbani kwenye harusi ya familia hivi karibuni.
Nikakuta Wasukuma wa nyumbani bado mpaka leo wanaendeleza utamaduni wao, wamefanya harusi kadi ni formality tu, nualiko umetolewa kwa jamii nzima na kwenye ukumbi wa harusi hakuna kuuliza kadi.
Hao ndio Wasukuma ninaowajua mimi.
Sio Wasukuma wa kuua na kuteka.
What!!!!Baada ya kutaka kumbaka makamu wake haijatosha.Hakuna cha ajabu kuna viongozi wengi wamewahi kuvuta bangi utotoni na kuwa watundu.Magufuli hachafuliki kwa hadithi za kutunga.
Jaji Mihayo mtu poa sana nilikuwa nafika kwake hapo Oysterbay miaka ya 90...peace sana.Hakuna Wasukuma ninaowajua wenye tabia hizo.
Wasukuma tabia zao kama wana nafasi ni kuwapa watu good time.
Sisi kwetu Oysterbay tulikuwa tunafanya parties za geti wazi, watu wanakuja wanakula wanakunywa hata hawaulizwi kadi. Na sio sisi tu, ilikuwa ukienda kwa Jaji Mihayo hivyo hivyo, ukienda kwa Jaji Nyalali hivyo hivyo. Ukienda kwa Andrew Shija hivyo hivyo. Ukienda kwa Bomani hivyo hivyo.Ukienda kwa Mageni hivyo hivyo. Wote Wasukuma hao. Hakuna mtu mjinga hapo.
Basi kwa miaka mingi nikafetikiri yale yalikuwa ni maisha ya zamani, wazazi walikuwa wanafanya vile miaka ya Mwinyi ya mwanzo.
Nikarudi nyumbani kwenye harusi ya familia hivi karibuni.
Nikakuta Wasukuma wa nyumbani bado mpaka leo wanaendeleza utamaduni wao, wamefanya harusi kadi ni formality tu, nualiko umetolewa kwa jamii nzima na kwenye ukumbi wa harusi hakuna kuuliza kadi.
Hao ndio Wasukuma ninaowajua mimi.
Sio Wasukuma wa kuua na kuteka.
Sasa huyu pamoja na kuvuta bhangi, alikuwa na karama ya uongozi kwani..?Naona hadi wasiopendwa leo wanatumika kuweka references, dunia ina majanga hii.
Huyo kabendera amechokonoa hayo ili kufidia madhira aliyofanyiwa, ila haiwezi kuondoa uongo/ukweli kwamba si John tu aliyewahi kuvuta bangi au kufukuzwa shule na bado akawa kiongozi.
Kuwa smart shule au mwema siyo kigezo cha kuwa kiongozi.
Uongozi ni karama.
Wapi nimetumia Wasukuma kama kichaka cha kumchafua Magufuli?Wasukuma wanaoua albino na wazee kwa kusingizio cha uchawi?
Wasukuma usiwarumie kama kichaka cha kumchafua Magufuli!
Ushanielewa mkuu? Kwa kina Devotha na Solo. Inawezekana tumekutana hapo.Jaji Mihayo mtu poa sana nilikuwa nafika kwake hapo Oysterbay miaka ya 90...peace sana.
Erick apimwe aklliliNi Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Brother Kiranga, JPM alikuwa ni pure Msukuma, hajachanganya bleed.Ushanielewa mkuu? Kwa kina Devotha na Solo. Inawezekana tumekutana hapo.
Sasa wale ndiyo Wasukuma wenyewe.
Siyo hawa wakimbizi wa Burundi wanaojibandika tu Usukuma.
Traditionally hakuna Msukuma wa kutokea Biharamulo.Brother Kiranga, JPM alikuwa ni pure Msukuma, hajachanganya bleed.
Kwenye issue ya bhangi kwa kipindi chao siyo issue ya kushangaza kwani wamekulia kipindi cha revolution ya African countries and by then reggae ilitumika kama moja ya inspiration na watu/vijana wengi waliunga mkono so walijaribu baadhi ya vitu kama bhangi. Brother code zingine tusifungue sana unajua life ya baadhi ya vijana wa Obey ilivyokuwa influenced na reggae