Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Kheeeh mwaka umeanza kuchangamka mapema kabisaa, Lol
 
Naona hadi wasiopendwa leo wanatumika kuweka references, dunia ina majanga hii.

Huyo kabendera amechokonoa hayo ili kufidia madhira aliyofanyiwa, ila haiwezi kuondoa uongo/ukweli kwamba si John tu aliyewahi kuvuta bangi au kufukuzwa shule na bado akawa kiongozi.

Kuwa smart shule au mwema siyo kigezo cha kuwa kiongozi.

Uongozi ni karama.
Yaani nyie mnaoleta utetezi ni wajinga sana.....marehemu alitenda mazuri na mabaya

Sasa mmoja anatoa yale mabaya nyie mnaanza kuumia kwa niaba ya marehemu,ukweli ni ukweli.....

Hakuna cha kuficha hapa,viazi nyie

Matendo yenu na yetu sote yana consequences dead and alive,yatakuja into light kama hivi
 
Wewe unafikiri wazazi na ndugu wa Ben Saanane wanajisikiaje!? Yule mbwa alikuwa katili kweli.
Hata Samia katili,hata Nyerere alikua katili pia Kikwete vivyo hivyo kwa Mkapa.
Huo ukatili mumeuona kwa Magufuli tu au siyo!?
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Hivi ni vituko uswahilini!
 
"Magufuli is not Burundian"
My point is that Erick is Burundian and is being used by thugs to tarnish Magufuli's reputation, considering that Magufuli has already passed away and cannot defend himself!

I expected Samia to take strong action against Erick for spreading nonsense online."
Eti hayupo hapa kujitetea

Jamaa angetoa kitabu cha kuelezea mazuri tu yake usingeongea huu ujinga wa "kujitetea"

Ila katoa mabaya yake maana ni mwanadamu ana mazuri na mabaya,wewe unaona mabaya hayatakiwi kusemwa sababu tu eti kafa

Stupid thinking hii.....mazuri na mabaya yote yatolewe kwa uwazi......kama unaweza na wewe toa kitabu usemee mazuri yake "umtetee" humo...who cares!
 
Wewe unafikiri wazazi na ndugu wa Ben Saanane wanajisikiaje!? Yule mbwa alikuwa katili kweli.
Wewe utakua vyeti feki sio buree Maana nyinyi ndio mna mimba za chuki na kipi kilimuwasha kufuatilia na kukejeli PhD ya JPM.
 
Hakuwahi kuwa msukuma huyo alikuwa mzilakende.
Hakuna Wasukuma ninaowajua wenye tabia hizo.

Wasukuma tabia zao kama wana nafasi ni kuwapa watu good time.

Sisi kwetu Oysterbay tulikuwa tunafanya parties za geti wazi, watu wanakuja wanakula wanakunywa hata hawaulizwi kadi. Na sio sisi tu, ilikuwa ukienda kwa Jaji Mihayo hivyo hivyo, ukienda kwa Jaji Nyalali hivyo hivyo. Ukienda kwa Andrew Shija hivyo hivyo. Ukienda kwa Bomani hivyo hivyo.Ukienda kwa Mageni hivyo hivyo. Wote Wasukuma hao. Hakuna mtu mjinga hapo.

Basi kwa miaka mingi nikafikiri yale yalikuwa ni maisha ya zamani, wazazi walikuwa wanafanya vile miaka ya Mwinyi ya mwanzo.

Nikarudi nyumbani kwenye harusi ya familia hivi karibuni.

Nikakuta Wasukuma wa nyumbani bado mpaka leo wanaendeleza utamaduni wao, wamefanya harusi kadi ni formality tu, nualiko umetolewa kwa jamii nzima na kwenye ukumbi wa harusi hakuna kuuliza kadi.

Hao ndio Wasukuma ninaowajua mimi.

Sio Wasukuma wa kuua na kuteka.
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Sasa upepo unavuma kiasi cha kufunua na kila mtu kuanzs kuona nyeti za kuku..!!

This down below👇🏻👇🏻is the link ya YouTube ya mahojiano yote

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=8KYjd6vEdrRe5snx
 
Hakuna Wasukuma ninaowajua wenye tabia hizo.

Wasukuma tabia zao kama wana nafasi ni kuwapa watu good time.

Sisi kwetu Oysterbay tulikuwa tunafanya parties za geti wazi, watu wanakuja wanakula wanakunywa hata hawaulizwi kadi. Na sio sisi tu, ilikuwa ukienda kwa Jaji Mihayo hivyo hivyo, ukienda kwa Jaji Nyalali hivyo hivyo. Ukienda kwa Andrew Shija hivyo hivyo. Ukienda kwa Bomani hivyo hivyo.Ukienda kwa Mageni hivyo hivyo. Wote Wasukuma hao. Hakuna mtu mjinga hapo.

Basi kwa miaka mingi nikafikiri yale yalikuwa ni maisha ya zamani, wazazi walikuwa wanafanya vile miaka ya Mwinyi ya mwanzo.

Nikarudi nyumbani kwenye harusi ya familia hivi karibuni.

Nikakuta Wasukuma wa nyumbani bado mpaka leo wanaendeleza utamaduni wao, wamefanya harusi kadi ni formality tu, nualiko umetolewa kwa jamii nzima na kwenye ukumbi wa harusi hakuna kuuliza kadi.

Hao ndio Wasukuma ninaowajua mimi.

Sio Wasukuma wa kuua na kuteka.
Wasukuma wanaoua albino na wazee kwa kusingizio cha uchawi?
Wasukuma usiwarumie kama kichaka cha kumchafua Magufuli!
 
Hakuna Wasukuma ninaowajua wenye tabia hizo.

Wasukuma tabia zao kama wana nafasi ni kuwapa watu good time.

Sisi kwetu Oysterbay tulikuwa tunafanya parties za geti wazi, watu wanakuja wanakula wanakunywa hata hawaulizwi kadi. Na sio sisi tu, ilikuwa ukienda kwa Jaji Mihayo hivyo hivyo, ukienda kwa Jaji Nyalali hivyo hivyo. Ukienda kwa Andrew Shija hivyo hivyo. Ukienda kwa Bomani hivyo hivyo.Ukienda kwa Mageni hivyo hivyo. Wote Wasukuma hao. Hakuna mtu mjinga hapo.

Basi kwa miaka mingi nikafetikiri yale yalikuwa ni maisha ya zamani, wazazi walikuwa wanafanya vile miaka ya Mwinyi ya mwanzo.

Nikarudi nyumbani kwenye harusi ya familia hivi karibuni.

Nikakuta Wasukuma wa nyumbani bado mpaka leo wanaendeleza utamaduni wao, wamefanya harusi kadi ni formality tu, nualiko umetolewa kwa jamii nzima na kwenye ukumbi wa harusi hakuna kuuliza kadi.

Hao ndio Wasukuma ninaowajua mimi.

Sio Wasukuma wa kuua na kuteka.
Jaji Mihayo mtu poa sana nilikuwa nafika kwake hapo Oysterbay miaka ya 90...peace sana.
 
Naona hadi wasiopendwa leo wanatumika kuweka references, dunia ina majanga hii.

Huyo kabendera amechokonoa hayo ili kufidia madhira aliyofanyiwa, ila haiwezi kuondoa uongo/ukweli kwamba si John tu aliyewahi kuvuta bangi au kufukuzwa shule na bado akawa kiongozi.

Kuwa smart shule au mwema siyo kigezo cha kuwa kiongozi.

Uongozi ni karama.
Sasa huyu pamoja na kuvuta bhangi, alikuwa na karama ya uongozi kwani..?

Wenye karama ya uongozi hutengenezewa njia laini na sahihi ya kupata uongozi na Mungu mwenyewe..

Mtazame Mfalme Daudi, Nabii Samweli, Mfalme Sauli na wengine wengi ktk historia ya dunia na Biblia hawakutwaa madaraka ya uongozi kwa nguvu na ulaghai na rushwa na uongo ongo...

John P. Magufuli hajawahi kuwa na karama ya uongozi. Alikuwa mtu mwongo, laghai, mwizi na katili...

Huyu hakuwahi kushinda nafasi ya uongozi kwa kura halali za watu ili kupata kibali cha Mungu na watu cha kuwa kiongozi wa taifa hili la Tanganyika...!!

Kwa kifupi, huyu alikuwa SHETANI MWENYEWE KATIKA MWILI WA BINADAMU..

Huu ni ukweli mchungu sana unaopaswa kusemwa ili tupone..
 
Wasukuma wanaoua albino na wazee kwa kusingizio cha uchawi?
Wasukuma usiwarumie kama kichaka cha kumchafua Magufuli!
Wapi nimetumia Wasukuma kama kichaka cha kumchafua Magufuli?

Magufuli kwanza hata si Msukuma.
 
Jaji Mihayo mtu poa sana nilikuwa nafika kwake hapo Oysterbay miaka ya 90...peace sana.
Ushanielewa mkuu? Kwa kina Devotha na Solo. Inawezekana tumekutana hapo.

Sasa wale ndiyo Wasukuma wenyewe.

Siyo hawa wakimbizi wa Burundi wanaojibandika tu Usukuma.
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Erick apimwe akllili
 
Ushanielewa mkuu? Kwa kina Devotha na Solo. Inawezekana tumekutana hapo.

Sasa wale ndiyo Wasukuma wenyewe.

Siyo hawa wakimbizi wa Burundi wanaojibandika tu Usukuma.
Brother Kiranga, JPM alikuwa ni pure Msukuma, hajachanganya bleed.
Kwenye issue ya bhangi kwa kipindi chao siyo issue ya kushangaza kwani wamekulia kipindi cha revolution ya African countries and by then reggae ilitumika kama moja ya inspiration na watu/vijana wengi waliunga mkono so walijaribu baadhi ya vitu kama bhangi. Brother code zingine tusifungue sana unajua life ya baadhi ya vijana wa Obey ilivyokuwa influenced na reggae
 
Traditionally hakuna Msukuma wa kutokea Biharamulo.
 
Back
Top Bottom