Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Yap! Brother kudhibitisha kwa documents and other evidence kwa hapa jf hata wewe unajua haiwezekani. Ume demand vitu vigumu sana
Watu hawawezi hata ku prove nani mtoto wa nani, wanarukia makabila?
 
Kwanza viongozi wengi wanaojifanya kuwa na busara ,wanadumaza nchi Bora viongozi wanaodaiwa kutumia bangi kidogo Kama ni kweli magufuriiiíiiiiiiii alitumia hongera zake,waangalie viongozi wenye Kariba ya magufuriiiíiiiiiiii, Sina uhakika Kama wanatumia,hiyo kitu,Ila wa Kariba yake,kwa uchache akina Castrol, Adolf, nk walinyoosha Mambo kwao,Sasa Kama walikuwa wanatumia ,basi kumbe POA ihalalishwe ni nzuri,inakufanya uvae miwani ya mbao na kutokuwaonea aibu kabisaaaaaa wanaotoboa fuko la hazina na kuvujisha ovyo manono ya nchi
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Ukweli ni mchungu sana sana

Viongozi wanaweza kuepuka kukumbukwa kwa style hii endapo watatenda na kuenenda kwa haki wakiwa madarakanj.

Inauma sana sisi tuliompenda Jiwe lakini hatuwezi kukwepa kuwa jamaa alikuwa katili na kuchafua CV yake ya utendaji
 
Sema miaka ya jiwe ilikuwa ya mishe mishe full kuishi kitaalamu mwendo wa ngiri, hii bangi itafutwe wavutishwe viongozi tuanze mchaka mchaka upya
 
Wewe utakua vyeti feki sio buree Maana nyinyi ndio mna mimba za chuki na kipi kilimuwasha kufuatilia na kukejeli PhD ya JPM.
Kusema ukweli kuhusu PhD ya mchongo ya yule kichaa ni makosa!? Mbona yeye aliwafukuza kazi watu kwa vyeti vya mchongo!? Mbwa yule ana bahati alipata Urais ila hakustahili hata kuongoza familia yake tu mwenyewe.
 
Hata Samia katili,hata Nyerere alikua katili pia Kikwete vivyo hivyo kwa Mkapa.
Huo ukatili mumeuona kwa Magufuli tu au siyo!?
Yeye ndiye wa kwanza kumuua Raia Ikulu. Kichaa yule
 
Yeye ndiye wa kwanza kumuua Raia Ikulu. Kichaa yule
Ushahidi umedhihirika kama kweli kamuulia ikulu!?
Hata kama kamuua ikulu,uuaji ni uuaji tu hauna kisingizio umeulia wapi.
Mkapa aliua watu ndani ya msikiti(msikiti wa mwembechai),je hilo unalizungumziaje!?
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Mnao shabikia kiweni makini.... kuna baa la aibu litawakuta hapo baadae... na huyo kabendera mnaemshabikia sijui mtaficha wapi sura zenu....
 
Ushahidi umedhihirika kama kweli kamuulia ikulu!?
Hata kama kamuua ikulu,uuaji ni uuaji tu hauna kisingizio umeulia wapi.
Mkapa aliua watu ndani ya msikiti(msikiti wa mwembechai),je hilo unalizungumziaje!?
Mkapa alishika bastola kuua!? Kama ndiyo, ongezea na JPM kumuua pia Akwilina pale Kinondoni.
 
Mnao shabikia kiweni makini.... kuna baa la aibu litawakuta hapo baadae... na huyo kabendera mnaemshabikia sijui mtaficha wapi sura zenu....
Wewe unaumia nini ukweli huu kuwekwa wazi!? By the way Kabendera ameweza tu kupaza sauti ila chini chini ni muda tu inajulikana Saanane aliuliwa ndani ya Ikulu na yule kichaa.
 
Moyo wangu una amani Sana juu ya Maisha ya JOHN POMBE MAGUFURI nasema haya kwa sababu ni aina ya watu wachache walio tuonyesha kua work must be done/ punda afe mzigo ufike. Waafrika wengi na watu weusi Wana ka uzembe ka kuzaliwa nako.

Hakua na longo longo ni mtu mwenye huruma na alituonyesha trela.. WATANZANIA wengi tunampenda/wanampenda Sanaa jamaa alikua jiwe kweli kweli/ chuma kweli kweli.. likitajwa jina lake mafisadi yanatetemeka..wapiga Dili wana jikojolea.. likitajwa jina la MAGUFURI WAZALENDO wanagonga cheers

NB.
Kabendera anacho kifanya binafsi nimejikuta na kerwa/ kasirika/ chukia/ je watu wa familia ya JPM/ wanajisikiaje/ watajisikiaje / haikubarik na huu upotoshaji... kabendera must pay for it.
Nilichojifunza... waafrika wengi hasa Watanzania bado wapo utumwani... tena akili zao zimefungwa minyororo ya uvivu na misaada ya wazungu... akitokea kiongozi mwenye nia ya kuwatoa huko kwa sababu ya uvivu wao watampinga......

#kabendera must pay for it
 
Mkapa alishika bastola kuua!? Kama ndiyo, ongezea na JPM kumuua pia Akwilina pale Kinondoni.
Askari waliofanya unyama ndani ya msikiti wa mwembechai walifanya kwa agizo la Mkapa.
Unazungumziaje suala la mauaji ya watu kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi!?
 
Back
Top Bottom