Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Bado halithibitishi Usukuma.Yap! Ila ni chanzo kikubwa cha ku-trace ukabila wa mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado halithibitishi Usukuma.Yap! Ila ni chanzo kikubwa cha ku-trace ukabila wa mtu
Yap! Brother kudhibitisha kwa documents and other evidence kwa hapa jf hata wewe unajua haiwezekani. Ume demand vitu vigumu sanaBado halithibitishi Usukuma.
Watu hawawezi hata ku prove nani mtoto wa nani, wanarukia makabila?Yap! Brother kudhibitisha kwa documents and other evidence kwa hapa jf hata wewe unajua haiwezekani. Ume demand vitu vigumu sana
Ganja sijajua inahusikaje hapa kwann wasiseme alikuwa chapombe au teja?!Kweli Mkuu. Bangi wanaisingizia tuu hapa.
Jiwe lilikua na upwiruWendawazimu kama wewe ndiyo mtaamini alitaka kumbaka makamu wake.
Ni mwanaume kamili lazima awe na upwiru.Jiwe lilikua na upwiru
Ukweli ni mchungu sana sanaNi Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Sasa ndo avae pajama ? Haiombwi ivyo pumbafuuNi mwanaume kamili lazima awe na upwiru
Kusema ukweli kuhusu PhD ya mchongo ya yule kichaa ni makosa!? Mbona yeye aliwafukuza kazi watu kwa vyeti vya mchongo!? Mbwa yule ana bahati alipata Urais ila hakustahili hata kuongoza familia yake tu mwenyewe.Wewe utakua vyeti feki sio buree Maana nyinyi ndio mna mimba za chuki na kipi kilimuwasha kufuatilia na kukejeli PhD ya JPM.
Yeye ndiye wa kwanza kumuua Raia Ikulu. Kichaa yuleHata Samia katili,hata Nyerere alikua katili pia Kikwete vivyo hivyo kwa Mkapa.
Huo ukatili mumeuona kwa Magufuli tu au siyo!?
Wewe uliyeko sawa kichwani andika nawe kitabu chako cha kusifia mazuri ya yule kichaaMwandishi mwenyewe huyu kichwani hayuko sawa
Ushahidi umedhihirika kama kweli kamuulia ikulu!?Yeye ndiye wa kwanza kumuua Raia Ikulu. Kichaa yule
Mnao shabikia kiweni makini.... kuna baa la aibu litawakuta hapo baadae... na huyo kabendera mnaemshabikia sijui mtaficha wapi sura zenu....Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Mkapa alishika bastola kuua!? Kama ndiyo, ongezea na JPM kumuua pia Akwilina pale Kinondoni.Ushahidi umedhihirika kama kweli kamuulia ikulu!?
Hata kama kamuua ikulu,uuaji ni uuaji tu hauna kisingizio umeulia wapi.
Mkapa aliua watu ndani ya msikiti(msikiti wa mwembechai),je hilo unalizungumziaje!?
Wewe unaumia nini ukweli huu kuwekwa wazi!? By the way Kabendera ameweza tu kupaza sauti ila chini chini ni muda tu inajulikana Saanane aliuliwa ndani ya Ikulu na yule kichaa.Mnao shabikia kiweni makini.... kuna baa la aibu litawakuta hapo baadae... na huyo kabendera mnaemshabikia sijui mtaficha wapi sura zenu....
Nilichojifunza... waafrika wengi hasa Watanzania bado wapo utumwani... tena akili zao zimefungwa minyororo ya uvivu na misaada ya wazungu... akitokea kiongozi mwenye nia ya kuwatoa huko kwa sababu ya uvivu wao watampinga......Moyo wangu una amani Sana juu ya Maisha ya JOHN POMBE MAGUFURI nasema haya kwa sababu ni aina ya watu wachache walio tuonyesha kua work must be done/ punda afe mzigo ufike. Waafrika wengi na watu weusi Wana ka uzembe ka kuzaliwa nako.
Hakua na longo longo ni mtu mwenye huruma na alituonyesha trela.. WATANZANIA wengi tunampenda/wanampenda Sanaa jamaa alikua jiwe kweli kweli/ chuma kweli kweli.. likitajwa jina lake mafisadi yanatetemeka..wapiga Dili wana jikojolea.. likitajwa jina la MAGUFURI WAZALENDO wanagonga cheers
NB.
Kabendera anacho kifanya binafsi nimejikuta na kerwa/ kasirika/ chukia/ je watu wa familia ya JPM/ wanajisikiaje/ watajisikiaje / haikubarik na huu upotoshaji... kabendera must pay for it.
Askari waliofanya unyama ndani ya msikiti wa mwembechai walifanya kwa agizo la Mkapa.Mkapa alishika bastola kuua!? Kama ndiyo, ongezea na JPM kumuua pia Akwilina pale Kinondoni.