komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Hapana rafiki I am so sorry, nimetoa general observation, kwa mada yenyewe ila ikaonekana nimekujibu wewe. Uwe na amani.Uko sawasawa kweli? Nilichokiandika kinahusiana vipi na haya uliyoyasema? Yani kuhitaji kitabu ni kosa?
Hapo sasaAkiitwa akatoe ushahidi anao?
Kabendera hawezi kujibu mara mbili,majibu yotw yapo katika mchakato wakuandaa kitabu chake,na wasifu wake ,kitabu alichokiandika sio riwaya,tamthilia,ushairi, ama fictions, wanaosoma vitabu na wanaojua uandishi wa vitabu wanaelewa, na kama unaelewa huwezi kuuliza swali kama hilo mkuu, otherwise ni kuinua malumbano yasiyo na msingiMuulize mleta uzi na mtafute kabendera… ukiniuliza swali ambalo anatakiwa ajibu huyo MPUMBAVU kabendera utakuwa unanikosea komredi
Wewe inawezekana ni kijana wa 20’s… huenda upo likizo masomoni au kalikizo kafupi haka ka sikukuu ndomana una-practice kutuandikia hicho kizungu chako cha kuungaunga na kukariri. We ni nani alikwambiaga mtu anayefanya kazi ikulu, aidha awe mlinzi au yeyote yule anaweza akayazungumza yanayoendelea mule?! Huwi mfanyakazi mule mpaka uchunguzwe na upitie viapo maalum na unafuatiliwa! Sasa naona unatuletea maswali ya kitoto humuIs it possible to get a vivid evidence from the inner house of state ? Who is ready to be quoted.
Wewe ndiye kiranja wa wampumbavu ila hujijui.Hadithi za kipumbafu kabisa...
Namshukuru Mungu, mauwaji na utekaji haujaisha...
Hivyo watu wanaotumia akili zao wanajua tatizo liko wapi.
yeye anauzaje kitabu $18.85/ $12 kindle wakati anajua sisi uwezo wetu ni $2/siku?Why pirate? Mlipe jasho lake.
Kutoa huduma gani kwa mfano kujenga Barabara na Hospital ?Na sio huyo mmoja tu, ukitajiwa wengine utatema nyongo,na Kuna wengine walitekwa wakapelekwa ikulu tena kwa sababu wanaidai serikali wakaachiwa kwa Sherti la kusamehe deni, na kutoa huduma bure
🤣🤣🤣kwa kuanzia sio mbaya acha tutembee na hili beat hadi tutapopata mbadala wakeHizo sources zake ni Trust me bro
Umeshakisoma kitabu chote mkuu? Au hiyo conclusion is based on that one paragraph??Jamaa ame andika kijumla jumla sana
Wewe ni mpumbavu kama ala tu,.Kwamba kibanda kipofu!?.. jakaya hakugharamia matibabu na kumsihi 'msiwachokoze'?!
Kabendera angekuwa nchi kama Russia angeuwawa kwa sumu, China angenyongwa, Marekani angeuwawa na kudaiwa amefanya suicide, Israel uko ndio angefungwa kama Mordechai Vanunu.Kabendera anahitaji msaada wa kitaalamu (psychological intervention).
Tatizo ni kumpoteza mama yake, akiwa jela wakati yeye ndio alikuwa bread winner.
Ni hivi unapochagua life style (a career) or risk lazima ujue na madhara yake pia.
Huwezi kuwa unaandika nakala za kuichafua nchi yako, unauza kwa mabeberu huo ni uhaini kwa lengo la kupata pesa. Nchi zenyewe za third world, uwe tayari kuishi na madhira yake ukibainika.
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watanzania, kutokuelewa kuna consequences in life; yaani watanzania wanachukulia vitu poa.
hijasemaWapi nimesema tumsamehe shetani mkuu?
Mkuu wananchi hawana muda huo wakusoma na wala hawata jua chochote kama kuna kitabu.Bila kumponda Magufuli atauza copy chache sana kajiongeza.
Then such allegations should be left out and uttered in gossiping areas i.e. vijiwe vya Gahawa, rather than documented in any serious articles or at-least should start with the word allegedly or I witnessed or according to a named someone and not according to people unknown....Is it possible to get a vivid evidence from the inner house of state ? Who is ready to be quoted.
Kwa mistari hiyo michache hicho kitabu ni zaidi ya udakuUmeshakisoma kitabu chote mkuu? Au hiyo conclusion is based on that one paragraph??