Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Muulize mleta uzi na mtafute kabendera… ukiniuliza swali ambalo anatakiwa ajibu huyo MPUMBAVU kabendera utakuwa unanikosea komredi
Kabendera hawezi kujibu mara mbili,majibu yotw yapo katika mchakato wakuandaa kitabu chake,na wasifu wake ,kitabu alichokiandika sio riwaya,tamthilia,ushairi, ama fictions, wanaosoma vitabu na wanaojua uandishi wa vitabu wanaelewa, na kama unaelewa huwezi kuuliza swali kama hilo mkuu, otherwise ni kuinua malumbano yasiyo na msingi
 
Is it possible to get a vivid evidence from the inner house of state ? Who is ready to be quoted.
Wewe inawezekana ni kijana wa 20’s… huenda upo likizo masomoni au kalikizo kafupi haka ka sikukuu ndomana una-practice kutuandikia hicho kizungu chako cha kuungaunga na kukariri. We ni nani alikwambiaga mtu anayefanya kazi ikulu, aidha awe mlinzi au yeyote yule anaweza akayazungumza yanayoendelea mule?! Huwi mfanyakazi mule mpaka uchunguzwe na upitie viapo maalum na unafuatiliwa! Sasa naona unatuletea maswali ya kitoto humu
 
Aliefanya yale mauwaji ya mzee wa kitanga ndani ya bus jina limenitoka, atakua na majibu ya kujibu kwa Mwenyezi Mungu, japo siamini kama ni ccm ndio wamehusika.

Chadema❌❌❌

Nashangaa pia kuna baadhi ya waislamu ni wanachama wa hilo chama la ukabila, ukanda, udini na utaifa.

Bora lissu awe mwenyekiti
 
Na sio huyo mmoja tu, ukitajiwa wengine utatema nyongo,na Kuna wengine walitekwa wakapelekwa ikulu tena kwa sababu wanaidai serikali wakaachiwa kwa Sherti la kusamehe deni, na kutoa huduma bure
Kutoa huduma gani kwa mfano kujenga Barabara na Hospital ?
 
Kwamba kibanda kipofu!?.. jakaya hakugharamia matibabu na kumsihi 'msiwachokoze'?!
Wewe ni mpumbavu kama ala tu,.
.
Hivi unajua kama jk aliitumia hadi mabomu? Unajua kama kuna watu 5 walikufa kwenye mkutano wa chadema kule soweto arusha sababu ya kurushiwa bomu la mkono?
 
Kabendera anahitaji msaada wa kitaalamu (psychological intervention).

Tatizo ni kumpoteza mama yake, akiwa jela wakati yeye ndio alikuwa bread winner.

Ni hivi unapochagua life style (a career) or risk lazima ujue na madhara yake pia.

Huwezi kuwa unaandika nakala za kuichafua nchi yako, unauza kwa mabeberu huo ni uhaini kwa lengo la kupata pesa. Nchi zenyewe za third world, uwe tayari kuishi na madhira yake ukibainika.

Hili ni tatizo kubwa sana kwa watanzania, kutokuelewa kuna consequences in life; yaani watanzania wanachukulia vitu poa.
Kabendera angekuwa nchi kama Russia angeuwawa kwa sumu, China angenyongwa, Marekani angeuwawa na kudaiwa amefanya suicide, Israel uko ndio angefungwa kama Mordechai Vanunu.

Kabendera alikuwa anauza taarifa za nchi nje kwa siri, lengo sio kusaidia nchi bali kupata faida binafsi za kiuchumi. Uko ndio akapata hela akajenga mjengo wake mkubwa alionao sasahivi.

Taarifa zake sometimes zilikuwa sahihi, ila hazikuwa na faida kwetu akiziuza nje.

Huyu hata angeambiwa andika kusema Tanzania inadhamini na kuwapa silaha waasi wa DRC ili inunue madini kwao angeandika. Yeye mradi alipwe, ndio maana alikamatwa na hela hazijulikani zimetoka wapi na kwa malipo ya nini. Waandishi kama hawa wapo wengi Nigeria na bara la Afrika, wananunuliwa kwa vipande vya fedha.

Kuhusu kukataliwa kutoka kizuizini akamzike mama yake hiyo sio ajabu mbele ya sheria. Wenzake kina Snowden wakichezea national interests hawaleti chuki kwa waliowakamata, hakunaga mole, double agent au spy anayekamatwa alafu akamchukia aliyemkamata. Huyo anakuwa kavamia fani.
 
Is it possible to get a vivid evidence from the inner house of state ? Who is ready to be quoted.
Then such allegations should be left out and uttered in gossiping areas i.e. vijiwe vya Gahawa, rather than documented in any serious articles or at-least should start with the word allegedly or I witnessed or according to a named someone and not according to people unknown....
 
Back
Top Bottom