Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Ila viongozi wakristu nchi hii huwa washamba sana,yaani ubabe,udikteta koko nk,kuongoza kwenyewe hawawezi,wakikalia kiti sijui hujiona miungu watu!
Kabisa. Mzee wetu Mohamed, Soca, Yule bwana mdogo wa kule Mbeya alichana picha amepotea mpaka leo... Hawa wameuawa na kiongozi mkristo. Akasema wanaleta drama. Kifo ni kifo tu.
 
Habari za uchunguzi alizokuwa anaandika Kabendera sio siri za usalama wa taifa(state secrets), ni mambo ambayo yalikuwa yako katika public domain kabisa au kumuuliza tu mtu wa kawaida anayefanya kazi ndani ya serikali akakuambia, jambo la ziada labda kwa sababu yeye ni mwandishi habari mzuri kwa Kingereza ambazo zinaweza kusomwa duniani kote level ya Jenerali Ulimwengu ambao ni nadra sana kwa Tanzania ndio maana ilionekana jambo la ajabu na kubwa sana.

Haifai kumfananisha Kabendera na kina Snowden au Chelsea Manning hata Kidogo na wala hajawahi kuhusishwa na mambo ya aina hiyo.

Marekani waandishi wameandika kupinga Ukuta wa Trump, kupinga Immigration plan ya Biden, kupinga Marekani kusaidia Ukraine, wakati wa vita vya Vietnam waandishi walipinga, uvamizi wa Iraq na Afghanistan wapo waandishi waliopinga, kusaidia Israel wapo waandishi wanaopinga
 
Habari za kuambiwa hizi. Hakushuhudia moja kwa moja ni upuuzi
 
Jamaa liongo kweli lipimbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…