Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji


Huyu kibaraka wa magharibi ana shida sana. Yeye anatunga tu hadithi za uongo. Sijui ni kwa manufaa ya nani
 

Sijawahi ona kwenye law of evidence ikihusisha comparative or relativity evidence. Kila case inajitegemea. Hicho ilichosema hakiwezi kimtia hatiani mtu.
 
Huyu kibaraka wa magharibi ana shida sana. Yeye anatunga tu hadithi. Sijui ni kwa manufaa ya nani
Kabendera sio kibaraka kama ambavyo mtakatatifu meko alitaka kutuaminisha watanzania kuwa ni Kibaraka wa baricc
 
Nakubaliana nawe kabisa Rais ni mwanadamu wa kawaida kabisa kama sisi na ametoka miongoni mwetu, na hata miongoni mwetu wengine ni bora kwa kila kitu kuzidi Rais.
Ndio maana Rais anakuwa na wasaidizi wengi, tena wengine wana maarifa na upeo wa hali ya juu kuliko Rais.
Hii ni kwa sababu kila neno na tendo la Rais linapaswa kuwa sahihi ili kulinda heshima ya Rais na uRais.
Ndio maana ana kuwa na ulinzi mpaka anapo enda haja na hata faragha yake inakuwa chini ya ulinzi.

Tuhuma hizi kwenye hiki kitabu hata kama Magufuli angekuwa hai asinge athirika moja kwa moja yeye kama Magufuli ila u Rais ndio ungeathirika na moja kwa moja tunazungumzia serikali.
Ndio maana nika sema serikali haipaswi kuliacha jinsi lilivyo .
 
Wote tunachekelea huu upumbavu wa mwandishi...



....Ni hayo Tu!!
 
Ndo maana mpaka leo nikisikia jina la Magufuli likitajwa huwa natetemekaga nikihisi bado ni mtawala.

Mtakatifu meko alikuwa mafia sana.
Mimi ni mhanga wa udikteta wa huyo magufuli wa chato ndio maana alipofariki niliondoka na kwenda kunywa bia.
Leo watu wanaona kuua na kuteka ni kitu cha kawaida kwa kuwa muasisi wa hya mambo ni Magufuli
 
Kwa magufuli iliwezekana kabisa
 
Mwandishi kaandika kwa hasira sana, hadi book cover kaweka picha ya mheshimiwa
 
Watoke na majibu ya hilo na mengine,nirahisi sana kujiosha.
Tena mh rais wetu anatakiwa asiache kusema chochote hata kukemea tu maana alikua msaidizi wa kwanza wa mheshimiwa dkt Magufuli.
Kamwe haimpasi kuacha kuchafuliwa magufuli, hata kama alikua na mabaya kiasi gani kuna namna anapaswa kusitiriwa.
 
Tena mh rais wetu anatakiwa asiache kusema chochote hata kukemea tu maana alikua msaidizi wa kwanza wa mheshimiwa dkt Magufuli.
Kamwe haimpasi kuacha kuchafuliwa magufuli, hata kama alikua na mabaya kiasi gani kuna namna anapaswa kusitiriwa.
Akina Samia wenyewe hawapendi hata kusikia jina la mtakatifu meko alafu leo uwaambie wakemee akina kabendera are you serious? Samia na Kabendera ni wahanga wa umafia wa Magufuli
 
Jana nimekunywa supu ya kwasakwasa!! aka NYUMBU
 

Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa nchi. Je mamlaka zimetoa ruhusa kutumika picha yake kwenye "kitabu cha aina hii"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…