Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.View attachment 3190072View attachment 3190073
Uo mdomo ndio ulio kuponza? Wakikuambia lete ushahidi?
 
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.View attachment 3190072View attachment 3190073
Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
 
Uongo.yaani magufuli ampige risasi yeye mwenyewe?haiwezekani na ni uongo kabisa.Bora angesema alikuawa na wasiojulikana angalau tungeamini na siyo kwamba magufuli mwenyewe eti alimpiga risasi Kwa mikono yake yenyewe.Kabendera acha uongo.Chuki zako za magufuli usimtungie uongo mzalendo wetu magufuli
 
Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Jamaa ame andika kijumla jumla sana
 
Vipi na kuhusu stori ya Lissu kupigwa risasi? Yupo hai, asome mchakato mzima wa kutaka kumtoa duniani wakati ule. Watu wanajua stori ila walikaa kimya, sasa ni wakati wa ku reveal story ile angali muhanga yu hai asome stori yake
 
Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Muongo njia yake ni fupi, kuna Muongo anaetumia njia ndefu? Kimya kimya si umeniona mtu mzima
 
Back
Top Bottom