doctor of philosophy
Member
- Jul 20, 2024
- 42
- 98
Mkuu, samahani hivi kuna ushahidi gani kuwa Mo Dewji alitekwa na serikali? Maana mwenyewe alikuwa akihojiwa BBC akadai ni watu wa nje ya nchi.. Na Magufuli alisikika akimkosoa Mambosasa kuhusu maelezo ya polisi waliyokuwa wakitoaNi vigumu kuaminika, ni vigumu kuthibitishika.
Lakini wanasema Magufuli alikuwa na faili Mirembe.
Kuna mambo mengi kafanya yalikuwa magumu kuaminika.
Alivyotekwa Mo Dewji nilipata tatizo sana kuamini kuwa utekaji ule unaweza kuwa na mkono wa serikali. Niliona si rahisi serikali kifanya utekaji hivyo. Sikuziea utamaduni wa serikali kuteka watu kwa wazi hivyo.
Lakini, baadaye imejulikana kwa ushahidi wa kuridhisha kwa kiasi kwamba serikali imehusika sana kwenye utekaji.
Mara nyingine hatutaki kukubali kuwa vitu fulani ambavyo sisi tunaviona vibaya sana vinaweza kutokea.
Ukweli ni kwamba, ni vigumu kuhakikisha Magufuli aliua au hakuua. Kama kaua kweli, wanaojua na kuweza kuaminika (mfano walinzi wa ndani wa Ikulu) hawawezi kukubali kwa sasa. Labda baadaye.
Mawazo ya watu hayataki kukubali ukweli wa kwamba "hapa hatuna jibu la uhakika, tusubiri tuchunguze tupate jibu la uhakika".
Karibu mara zote yanataka kuchukua upande na kuuamini bila ushahidi wa kutisha.
Hata mimi nilitaka kuuliza ameandika na ushahidi au kwasababu alinyooshwa anaamua atoe nyongo? Hivi Voda walimlipa zile bilioni 100?Such allegations needs to be accompanied by hard evidences.., Not Just Hearsay (Sources I have Spoken to)
Just my two Cents.....
Hoja ninkwamba hiyo ni picha ya kweli ya Magufuli na picha yoyote halali ya Magufuli ni halali kuitumia kwenye cover la kitabu cha Magufuli.Umeandika maelezo marefu.
Na mimi nakuuliza hoja yako ni nini kwenye maelezo yote haya?
Kwa lugha ya malkia wanasema yeye mwenyewe Magu kampiga moja ya kichwani saanane.Aliye mtuma watu wamuue nae kafariki kikatili sana hii ndio karma
Yaani kwa mistari michache tuu kitabu kina onekana ni zaidi ya udakuVitabu vya namna hii, vinashida sana kuamini. 'Niliambiwa'. How can you rely this to make such strong accusations to someone?
LIKUDKuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
Hiyo picha imewekwa hapo kujaribu kutetea hoja ya uongo ya mauaji ya Ben ndani ya ikulu.Hoja ninkwamba hiyo ni picha ya kweli ya Magufuli na picha yoyote halali ya Magufuli ni halali kuitumia kwenye cover la kitabu cha Magufuli.
Malalamiko yangekuwa na point kama picha ingekuwa si ya kweli ni ya kutengenezwa.
Sasa ukiikataa picha hii kutumika kwenye cover la kitabu unakataa nini?
Picha si ya Magufuli?
Magufuli hakuwa na bastola?
Mhhh! Mambo mazito haya.Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Wapi nimekataa picha isitumike?Hoja ninkwamba hiyo ni picha ya kweli ya Magufuli na picha yoyote halali ya Magufuli ni halali kuitumia kwenye cover la kitabu cha Magufuli.
Malalamiko yangekuwa na point kama picha ingekuwa si ya kweli ni ya kutengenezwa.
Sasa ukiikataa picha hii kutumika kwenye cover la kitabu unakataa nini?
Picha si ya Magufuli?
Magufuli hakuwa na bastola?
Walio muambia wakimrudia waseme ulikuwa ni utani tuu sijui ata fanyaje na amesha andika kitabuSuch allegations needs to be accompanied by hard evidences.., Not Just Hearsay (Sources I have Spoken to)
Just my two Cents.....
Yanga Omary amefariki?Kuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
Ni vigumu kupata ushahidi wa moja kwa moja kwa sababu watekaji wa serikali hawaachi risiti yenye sahihi na alama za vidole kusema "Sisi ni watekaji wa serikali, majina yetu ni haya, tumetoka ofisi fulani, barua za utekaji tulizopewa ni hizi hapa".Mkuu, samahani hivi kuna ushahidi gani kuwa Mo Dewji alitekwa na serikali? Maana mwenyewe alikuwa akihojiwa BBC akadai ni watu wa nje ya nchi.. Na Magufuli alisikika akimkosoa Mambosasa kuhusu maelezo ya polisi waliyokuwa wakitoa
Naomba kama utakua na chanzo plz, maana na mimi natafuta sana ukweli wa hili swala
Yeye mwenyewe aliwahi kujisema ni kichaaHuwa napata shida na maelezo ya Kabendera.
Kulikuwa na haja gani ya kumleta nyumbani kwake (IKULU ) kumuulia pale ?
Sio El Chapo, wala Mobutu Sese Seko, wala Al Capone the Mafia boss, ambae aliwahi kumleta mbaya wake sebuleni kwa mkewe na watoto, amshutie hapo.
Kuna ma torture chamber na majela ya kijeshi huko ndio madikteta ambao wanataka kuwahoji ma dissidents na kuwa shuti wao personally kama kina Saddam Hussein huwa wanakutana nao huko. Sio kwenye dining table ya mkewe.