Mkuu,
Zaidi ya hapo, hiyo si isolated incident. Kwa tuliopata ugumu kuamini hiyo habari awali tulikuwa na excuse, hizo habari zilikuwa nadra kusikika, ngumu kuaminika.
Sasa hivi tumeshaona pattern inayoonesha kuwa serikali kuhusika kwenye kuteka si jambo la ajabu.
Logically naweza kumsamehe mtu akiyeona ike habari serikali haiwezi kuhusika siku zike, lakini kwa sasa kuna pattern kabisa imejionesha serikali kuhusika na utekaji, hivyo ile habari tukiiangakia upya kutokana na pattern hii inaaminika zaidi kuwa huenda serikali ilihusika.