Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Mkuu,

Zaidi ya hapo, hiyo si isolated incident. Kwa tuliopata ugumu kuamini hiyo habari awali tulikuwa na excuse, hizo habari zilikuwa nadra kusikika, ngumu kuaminika.

Sasa hivi tumeshaona pattern inayoonesha kuwa serikali kuhusika kwenye kuteka si jambo la ajabu.

Logically naweza kumsamehe mtu akiyeona ike habari serikali haiwezi kuhusika siku zike, lakini kwa sasa kuna pattern kabisa imejionesha serikali kuhusika na utekaji, hivyo ile habari tukiiangakia upya kutokana na pattern hii inaaminika zaidi kuwa huenda serikali ilihusika.
Hakuna namna mkuu,ukikaa kwenye drawing board ukachora zile pattern vizuri kabisa utaona tu mshale unapoelekea.
 
Fallacy of generalization iko wapi?

Ioneshe iko wapi, weka hoja ya kimantiki kuionesha. Usiitaje tu.

Umekubali kuwa kunitaka nichague kuhusu wewe kulia au kukuelewa unasema nini ni false dichotomy fallacy?
Umeona sasa badala ya kuniambia wapi haujaelewa unaanzisha swala jipya
 
Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Upo uwezekano mkubwa sana kwamba Maelezo haya yana Ukweli. Madikteta wengi Sana Wana kawaida ya kufanya hivyo. Hata aliyekuwa Rais wa Zaire (Sasa Congo DR) marehemu Dikteta Mobutu Sese Seko alishiriki kuua watu wengi Sana kwa njia hiyo hiyo ya kuwapiga risasi yeye mwenyewe binafsi kwa mikono yake. Wanaharakati na Wakosoaji wa utawala wa Dikteta Mobutu Sese Seko wengi wao waliuawa kwa njia hiyo, Mobutu alikuwa anawaua wakosoaji wake yeye mwenyewe kwenye makazi yake yaliyopo Kijijini kwake Gbadolite. Hata baada ya kifo chake watoto wake Mobutu hawataki kwenda kuishi kwenye nyumba za baba yao huko Kijijini Gbadolite, eneo hilo Watu wanalichukulia kuwa ni "eneo lenye LAANA KUBWA' kwa sababu damu nyingi Sana za watu zilimwagika hapo. Nyumba hizo za Mobutu zimetelekezwa hadi leo hii, Hakuna mtu hata mmoja anayetaka kuishi huko, eneo lote limegeuka kuwa pori/msitu.
 
Dini ni malezi katika hili,imeonesha dini hiyo hawavumilii kukosolewa na tawala zao hujaa dhiki,so yeah,dini ni moja ya factors
Kwahiyo Waislam ndo wanavumilia kukosolewa!? Punguzeni chuki enyi wavaa kobazi. Hali yenu ngumu ya maisha haijasababishwa na Wakristo ila uvivu wenu na kuendekeza madrasa badala ya elimu Dunia.
 
Screenshot_20250101-200045.jpg

Madkteta kwa unafki
 
Alaaniwe yule gaidi wa chato. Aendelee kuoza na kuungua moto wa milele, Dhambi ya kuua huwa inapita mpaka kizazi cha nne kama ilivyomuadhibu mfalme ahabu na ukoo wake.

Raisi wa hovyo kuwai kutokea toka kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.
Tunashukuru hivi sasa hakuna utekaji wala mauaji! Tunaishi kwa raha na amani!!!!
 
Kwahiyo Waislam ndo wanavumilia kukosolewa!? Punguzeni chuki enyi wavaa kobazi. Hali yenu ngumu ya maisha haijasababishwa na Wakristo ila uvivu wenu na kuendekeza madrasa badala ya elimu Dunia.
Takwimu za hali ya maisha tanzania hazioneshi mikoa yenye waislam wengi kuna umasikini
 
Back
Top Bottom