Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwinyiWanakuwa na roho mbaya,bora samia abakie hadi 2035,halafu aje Ridhiwani
Vitabu vipi hivyo wakati vitabu vinasema shetani alisilim akawa mwisilam safi na ana sigida usoni maana ni swala tano 5Hakuna aya yoyote kwenye vitabu vya Mungu iliyoagiza tumsamehe Shetani
Muandishi wa kitabu alizipata wapi hizo Habari?Habari hizi ulizipata wapi ndugu?
Hii kitu ilishawai kua commented humu JF na one of the credible member of JF, Niliisoma miaka kama 2 nyuma na sasa naisoma hapa, Nimeamua kuamini ni ukweliAngelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.
hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Hayo hayakuwa maagizo ya J.K we yoda mjinga!Ulimboka alitekwa na kutolewa meno lini?
Mwangosi aliuwawa lini?
Kibanda alitekwa na kutolewa jicho lini?
True. We all have paid/ are currently paying or will pay our dues for all our actions….good or bad, never a nanosecond wasted.Kabendera anahitaji msaada wa kitaalamu (psychological intervention).
Tatizo ni kumpoteza mama yake, akiwa jela wakati yeye ndio alikuwa bread winner.
Ni hivi unapochagua life style (a career) or risk lazima ujue na madhara yake pia.
Huwezi kuwa unaandika nakala za kuichafua nchi yako, unauza kwa mabeberu huo ni uhaini kwa lengo la kupata pesa. Nchi zenyewe za third world, uwe tayari kuishi na madhira yake ukibainika.
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watanzania, kutokuelewa kuna consequences in life; yaani watanzania wanachukulia vitu poa.
Watu wanataka ushahidi wa viapo watu wakikubali kwamba wametumwa na serikali kuteka.Hakuna namna mkuu,ukikaa kwenye drawing board ukachora zile pattern vizuri kabisa utaona tu mshale unapoelekea.
Nikikwambia wapi sijaelewa utaelewa?Umeona sasa badala ya kuniambia wapi haujaelewa unaanzisha swala jipya
Huyu alitakiwa auwe kabisa kibaraka wa mafisadi na MabeberuUongo.yaani magufuli ampige risasi yeye mwenyewe?haiwezekani na ni uongo kabisa.Bora angesema alikuawa na wasiojulikana angalau tungeamini na siyo kwamba magufuli mwenyewe eti alimpiga risasi Kwa mikono yake yenyewe.Kabendera acha uongo.Chuki zako za magufuli usimtungie uongo mzalendo wetu magufuli
Utajua ni wakina nani Siku watakapokuminya na kujikuta usipopajua, hakuna simu, JF, demu wala maji ya kunywa. Kunya na kukojoa ni hapohapo ndo utajua ni kina nani… na hizo jeuri zako za kishenzi ndo utaziongelea palepale.Akina nani?..labda familia iende mahakamani
Kuna muda tujiepushe na federal za kijinga,Erick ni muandishi wa Habari za kiuchunguzi,anaandika kitu alichokifanyia utafiti nakubaini ukweli na sababu iliyofanya akashitakiwa na kesi ya uhujumu uchumi ni kuandika habari za siri kuhusu madudu ya serikali, sasa hiyo hoja yako ya kwamba unasema tuamini kwa picha kwamba sisi ni mafala?JF SIO FACE BOOK AMA INSTAGRAM kwamba hata mpuuzi utamkuta kizembe, hakuna mwenye akili timamu asiyejua kwamba Magu alikuwa ni muuaji, nahakuna aliyeguswa na mateso ya yule mzee asiyejua alikufajeNasema nina uhakika kwa sababu hana ushahidi mwingine wa kuaminisha watu kuhusu allegation aliyoitoa kwa Magu...
Mtu mwenye akili isiyo fikiri kimantiki ni rahisi kuamini ni kweli Magufuli alimuua Ben kwa kuangalia picha ya cover tu...
If only wishes were horses….I wish ma ccm yote,yapotee kama hili jambazi la kisukuma,
Time's up.Nikikwambia wapi sijaelewa utaelewa?
Dah tunasafari ndefu sana na watu wetu wa nchi hii...Watu wanataka ushahidi wa viapo watu wakikubali kwamba wametumwa na serikali kuteka.
Na sio huyo mmoja tu, ukitajiwa wengine utatema nyongo,na Kuna wengine walitekwa wakapelekwa ikulu tena kwa sababu wanaidai serikali wakaachiwa kwa Sherti la kusamehe deni, na kutoa huduma bureUongo.yaani magufuli ampige risasi yeye mwenyewe?haiwezekani na ni uongo kabisa.Bora angesema alikuawa na wasiojulikana angalau tungeamini na siyo kwamba magufuli mwenyewe eti alimpiga risasi Kwa mikono yake yenyewe.Kabendera acha uongo.Chuki zako za magufuli usimtungie uongo mzalendo wetu magufuli
Hata mimi nimeona imekaa kitoto sana,...too shallow..kwa mtu yeyote mwenye upeo mpana wa kufanya argument hii haiingii akilini,akiwa kama mwandishi inabidi aongeze weredi kwenye masuala yake ya uchambuzi na uandishiAngelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.
hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Leo na wewe Cyborg a.k.a AI wa Jamii Forums umeongea?! 😃😃😃😄🙌🏾Jamaa ame andika kijumla jumla sana