Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Hii kitu ilishawai kua commented humu JF na one of the credible member of JF, Niliisoma miaka kama 2 nyuma na sasa naisoma hapa, Nimeamua kuamini ni ukweli
 
Uongo uongo uongo mtupu, mara mseme alitupwa kwenye shimo la chatu, leo hii siyo chatu tena ni risasi Ikulu! Acheni kuzusha na kuchafua watu
 
Ulimboka alitekwa na kutolewa meno lini?
Mwangosi aliuwawa lini?
Kibanda alitekwa na kutolewa jicho lini?
Hayo hayakuwa maagizo ya J.K we yoda mjinga!

Lini utaacha ubaguzi wa kidini we mzee?!
 
Kabendera anahitaji msaada wa kitaalamu (psychological intervention).

Tatizo ni kumpoteza mama yake, akiwa jela wakati yeye ndio alikuwa bread winner.

Ni hivi unapochagua life style (a career) or risk lazima ujue na madhara yake pia.

Huwezi kuwa unaandika nakala za kuichafua nchi yako, unauza kwa mabeberu huo ni uhaini kwa lengo la kupata pesa. Nchi zenyewe za third world, uwe tayari kuishi na madhira yake ukibainika.

Hili ni tatizo kubwa sana kwa watanzania, kutokuelewa kuna consequences in life; yaani watanzania wanachukulia vitu poa.
True. We all have paid/ are currently paying or will pay our dues for all our actions….good or bad, never a nanosecond wasted.
Reality check!
 
Hakuna namna mkuu,ukikaa kwenye drawing board ukachora zile pattern vizuri kabisa utaona tu mshale unapoelekea.
Watu wanataka ushahidi wa viapo watu wakikubali kwamba wametumwa na serikali kuteka.
 
Uongo.yaani magufuli ampige risasi yeye mwenyewe?haiwezekani na ni uongo kabisa.Bora angesema alikuawa na wasiojulikana angalau tungeamini na siyo kwamba magufuli mwenyewe eti alimpiga risasi Kwa mikono yake yenyewe.Kabendera acha uongo.Chuki zako za magufuli usimtungie uongo mzalendo wetu magufuli
Huyu alitakiwa auwe kabisa kibaraka wa mafisadi na Mabeberu
 
Akina nani?..labda familia iende mahakamani
Utajua ni wakina nani Siku watakapokuminya na kujikuta usipopajua, hakuna simu, JF, demu wala maji ya kunywa. Kunya na kukojoa ni hapohapo ndo utajua ni kina nani… na hizo jeuri zako za kishenzi ndo utaziongelea palepale.

Angalia usije ukawa mke wao huko siku wakikupeleka 😊
 
Nasema nina uhakika kwa sababu hana ushahidi mwingine wa kuaminisha watu kuhusu allegation aliyoitoa kwa Magu...

Mtu mwenye akili isiyo fikiri kimantiki ni rahisi kuamini ni kweli Magufuli alimuua Ben kwa kuangalia picha ya cover tu...
Kuna muda tujiepushe na federal za kijinga,Erick ni muandishi wa Habari za kiuchunguzi,anaandika kitu alichokifanyia utafiti nakubaini ukweli na sababu iliyofanya akashitakiwa na kesi ya uhujumu uchumi ni kuandika habari za siri kuhusu madudu ya serikali, sasa hiyo hoja yako ya kwamba unasema tuamini kwa picha kwamba sisi ni mafala?JF SIO FACE BOOK AMA INSTAGRAM kwamba hata mpuuzi utamkuta kizembe, hakuna mwenye akili timamu asiyejua kwamba Magu alikuwa ni muuaji, nahakuna aliyeguswa na mateso ya yule mzee asiyejua alikufaje
 
Uongo.yaani magufuli ampige risasi yeye mwenyewe?haiwezekani na ni uongo kabisa.Bora angesema alikuawa na wasiojulikana angalau tungeamini na siyo kwamba magufuli mwenyewe eti alimpiga risasi Kwa mikono yake yenyewe.Kabendera acha uongo.Chuki zako za magufuli usimtungie uongo mzalendo wetu magufuli
Na sio huyo mmoja tu, ukitajiwa wengine utatema nyongo,na Kuna wengine walitekwa wakapelekwa ikulu tena kwa sababu wanaidai serikali wakaachiwa kwa Sherti la kusamehe deni, na kutoa huduma bure
 
Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Hata mimi nimeona imekaa kitoto sana,...too shallow..kwa mtu yeyote mwenye upeo mpana wa kufanya argument hii haiingii akilini,akiwa kama mwandishi inabidi aongeze weredi kwenye masuala yake ya uchambuzi na uandishi
 
Back
Top Bottom