Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Naungana na wewe mkuu katika hili. Sema tu kwakuwa Magu kila kosa anabambikiwa ni sawa. Lakini mi pia naamini kama kweli ni seeikali ilihusika basi ni maagizo tu hawezi kushiriki kwa mkono wake. Halafu hicho ni kitabu tu siyo kila kinachoongelewa kwenye kitabu kina ukweli.
 
Usalama wa taifa mko wapi mpaka kitabu chenye madai mazito kama hayo tena kwa mtu mwenye cheo cha rais mnaruhusu kiuzwe?

Ipo siku, mh rais atakuja kuulizwa maswali kuhusu jambo hili na vyombo vya habari vya kimataita tena akiwa kwenye angle mbaya na atapata kigugumizi kulijibu. Trust me, Ni ishu ya muda tu.
Kazi ya Usalama wa Taifa (Usalama wa Umma) siyo Kudhibiti Ubora wa Vitabu au Machapisho Mbalimbali.
 
1.Alikuwepo wakati president anamshoot?

2.Lengo la kuhangaika na maiti mpaka mto Rufiji ni nini?

3.Kila siku tunasoma humu maiti ya Ben haijawahi onekana hata hata kidogo ,mwandishi ana ushahidi gani kwamba maiti ilitupwa Rufiji?
Katika kutafuta ukweli kwa kutumia Hegelian dialectic kuna mfumo unaitwa Thesis -> Antithesis -> Synthesis.

Thesis ni madai kama aliyotoa Kabendera.

Antithesis ni kubishia hayo madai na kuyahakiki tujue yana ukweli kiasi gani na kiasi gani si ya ukweli. Maswali uliyouliza wewe ni muhimu kwa sababu ni sehemu ya uhakiki wa Antithesis.

Tukiyachukua madai ya Thesis na uhakiki wa Antithesis na kufanya uchunguzi zaidi, mfano, kama ingewezekana kupata ushahidi zaidi wa walinzi wa Ikulu (kitu ambacho kwa sasa ni vigumu sana kutokana na sababu za kiusalama na nature ya kazi zao) tungeweza kupata ukweli zaidi na kujua mbivu na mbichi ni zipi na kufikia Synthesis.

Kwa sasa kuna haja ya kupata ushahidi zaidi kuhakiki madai ya Kabendera, ila ukweli ni vigumu kuthibitishika.

Kwa sababu, hata kukosekana kwa ushahidi kuwa Magufuli aliua mwenyewe si ushahidi kwamba Magufuli hakuua.

Kukosekana kwa ushahidi ni kukosekana kwa ushahidi tu. Mume anaweza kuwa anacheat kwenye ndoa yake, na hakuna ushahidi kwamba ana cheat. Kukosekana kwa ushahidi hakumaanishi haja cheat, inawezekana ka cheat ila anajua sana kuficha ushahidi tu.

Lakini pia, kukosekana ushahidi haku prove kuwa kitu kilifanyika. Kukosekana kwa ushahidi kuwa mume kacheat hakumaanishi kacheat na kuficha ushahidi tu, inawezekana hakuna ushahidi kwa sababu haja cheat.

Hivyo, ni muhimu sana kupata ushahidi ili kujiridhisha kuwa kitu kilifanyika.
 
Magufuli alifanya hili tukio kwa mkono wake na humu jf ililetwa mpaka thread na ilikuwa ni kipindi ambacho kulikuwa na madai kwamba aliuliwa kwenye Moja ya safe houses za usalama halafu akapelekwa kwenye kisiwa Fulani kule bahari ya Hindi akamezwa na chatu ndio wavuvi wakaja wakaona shati na handkerchief baada ya madai haya ndio jamaa mmoja akaja akasema hapana aliuwawa na JPM kwa mkono wake mwenyewe.
Hii nilisoma pia ntajitahidi nitafute ile convo kama ntaipata, Hakuna coincidence ya hivyo
 
Uongo.yaani magufuli ampige risasi yeye mwenyewe?haiwezekani na ni uongo kabisa.Bora angesema alikuawa na wasiojulikana angalau tungeamini na siyo kwamba magufuli mwenyewe eti alimpiga risasi Kwa mikono yake yenyewe.Kabendera acha uongo.Chuki zako za magufuli usimtungie uongo mzalendo wetu magufuli
Magu ndie aliye ONDOA Uhai wa Ben kwa mkono wake na alitumia HACKLER 50 AE BLACK PISTOL.

Hujawahi kugongwa bahati mbaya Korodani, huwezi elewa.
 
Takwimu za hali ya maisha tanzania hazioneshi mikoa yenye waislam wengi kuna umasikini
Itaje hapa mikoa ya Waislam au ngoja nikusaidie
1. Lindi
2. Mtwara
3. Kigoma/Ujiji
4. Tabora
5. Pwani
Najua utakimbilia Dar ila kwa taarifa yako Dar imejengwa na wageni na hata sasa idadi ya Wakristo na waislam Dar huenda ikawa sswa na angalia hadhi ya maeneo wanayoishi wasilam wengi ( Mbagala, Kigogo, Magomeni, Tandika/Temeke stereo, Chanika, nk) ulinganishe na maeneo ya wakristo wengi (Mbezi beach, Oysterbay, Goba, Mbezi ya Kimara n.k)
 
Hii kitu ilishawai kua commented humu JF na one of the credible member of JF, Niliisoma miaka kama 2 nyuma na sasa naisoma hapa, Nimeamua kuamini ni ukweli
Vipi kama mwandishi naye aliitoa humu jf kwa huyohuyo mtu uliyesoma wewe? Kwamba hata mimi nikizusha mtu akachukua na kuandika kwenye jarida lake inakuwa kweli?
 
Dah ila ni kweli kua wabongo wengi tuna akili ndogo kias hiki..yaani wat kutoka nje waje nchi wamteke mfanya biashara number 1 nchi hii asubuhi na mapema wakae nae zaid ya masaa ishirini na nne humu humu ndani..then wamalizane nae wakamtupe bila kujulikana Wala kukamatwa mhusika ata Mmoja,..
Bro ebu tuheshimiane basi.
Kama unajua kusoma na ku comprehend ulichosoma, sijasema nimeamini maelezo ya Mo, nimesema alichokisema Mo,
Mbona unajitia ujiaji wakati huna akili kiasi hicho?
 
Niliwalenga watu kama wewe...

Watu ambao wakipewa habari wakaambiwa ni ya uchunguzi wanaamini bila kuhoji.
Unalenga watu using wajua ama wanaokujua zaidi ya unavyo wafahamu?,that man was a real lucifer, he hired witchdoctors and gave them accommodation and other services in the state house and paid themjust to deal with his opponents,,,hujui tuliza.
 
Hiyo ndo UBAYA UBWELA sasa Jiwe mwenyewe yuko wapi. Nadhani kabla hajafa huyo Jiwe ile picha ya hilo tendo ilikuwa inamjia
Alimuita pengo na shekhe mkuu ila Sidhani kama walisaidia kitu.

Roho ya Mzee kibao nayo inamwuwinda muhusika

Yutapata Habari muda si mrefu
 
Katika kutafuta ukweli kwa kutumia Hegelian dialectic kuna mfumo ubaitwa Thesis -> Antithesis -> Synthesis.

Thesis ni madai kama aliyotoa Kabendera.

Antithesis ni kubishia hayo madai na kuyahakiki tujue yana ukweli kiasi gani na kiasi gani si ya ukweli. Maswali uliyouliza wewe ni muhinu kwa sababu ni sehemu ya uhakiki wa Antithesis.

Tukiyachukua madai ya Thesis na uhakiki wa Antithesis na kufanya uchunguzi zaidi, mfano, kama ingewezekana kupata ushahidi zaidi wa walinzi wa Ikulu (kitu ambacho kwa sasa ni vigumu sana kutokana na sababu za kiusalama na nature ya kazi zao) tungeweza kupata ukweli zaidi na kujua mbivu na mbichi ni zipi na kufikia Synthesis.

Kwa sasa kuna haja ya kupata ushahidi zaidi kuhakiki madai ya Kabendera, ila ukweli ni vigumu kuthibitishika.

Kwa sababu, hata kukosekana kwa ushahidi kuwa Magufuli aliua mwenyewe si ushahidi kwamba Magufuli hakuua.

Kukosekana kwa ushahidi ni kukosekana kwa ushahidi tu. Mume anaweza kuwa anacheat kwenye ndoa yake, na hakuna ushahidi kwamba ana cheat. Kukosekana kwa ushahidi hakumaanishi haja cheat, inawezekana ka cheat ila anajua sana kuficha ushahidi tu.

Lakini pia, kukosekana ushahidi haku prove kuwa kitu kilifanyika. Kukosekana kwa ushahidi kuwa mume kacheat hakumaanishi kacheat na kuficha ushahidi tu, inawezekana hakuna ushahidi kwa sababu haja cheat.

Hivyo, ni muhimu sana kupata ushahidi ili kujiridhisha kuwa kitu kilifanyika.aq
Nimependa sana maelezo haya....Natamani sana ningelisoma hili katika synthesis stage....ila nimekuelewa sana.. (ulivyoanza nilijua unaanza mambo yako ya sijui nini nini fallacy😂😂😂,huwa unanichanganya)
 
Vipi kama mwandishi naye aliitoa humu jf kwa huyohuyo mtu uliyesoma wewe? Kwamba hata mimi nikizusha mtu akachukua na kuandika kwenye jarida lake inakuwa kweli?
Vipi kama mwandishi naye aliitoa humu jf kwa huyohuyo mtu uliyesoma wewe? Kwamba hata mimi nikizusha mtu akachukua na kuandika kwenye jarida lake inakuwa kweli?
Kwa kua hakuna ushahidi unao justfy ukweli au uongo zinabaki kua rumors, lkn mm nimechagua kuziamini hizo rumors
 
Back
Top Bottom