Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sihusiki na hayo mambo yakoVitabu vipi hivyo wakati vitabu vinasema shetani alisilim akawa mwisilam safi na ana sigida usoni maana ni swala tano 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sihusiki na hayo mambo yakoVitabu vipi hivyo wakati vitabu vinasema shetani alisilim akawa mwisilam safi na ana sigida usoni maana ni swala tano 5
Huwezi kujadili mambo mazito na mpuuzi mkuu,walioguswa na mkono wa yule mzee ndio wanajua maumivu yakeMwangosi bomu la machozi la ffu lilimpata tumboni,mi lilinipiga mgongoni 2002 maandamano ya waislam,lengo la bom la machozi siyo kuua
nje ya madaNa Sasa Lisu anaanza kulipa matusi aliyomtukana mwamba na kipenzi Cha watanzania JPM
Naungana na wewe mkuu katika hili. Sema tu kwakuwa Magu kila kosa anabambikiwa ni sawa. Lakini mi pia naamini kama kweli ni seeikali ilihusika basi ni maagizo tu hawezi kushiriki kwa mkono wake. Halafu hicho ni kitabu tu siyo kila kinachoongelewa kwenye kitabu kina ukweli.Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.
hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Kazi ya Usalama wa Taifa (Usalama wa Umma) siyo Kudhibiti Ubora wa Vitabu au Machapisho Mbalimbali.Usalama wa taifa mko wapi mpaka kitabu chenye madai mazito kama hayo tena kwa mtu mwenye cheo cha rais mnaruhusu kiuzwe?
Ipo siku, mh rais atakuja kuulizwa maswali kuhusu jambo hili na vyombo vya habari vya kimataita tena akiwa kwenye angle mbaya na atapata kigugumizi kulijibu. Trust me, Ni ishu ya muda tu.
Na ndipo unafiki wao hao watu ulipo.Na huyu akishaondoka madarakani watu wataandika ya Akina Soka
Yule last King wa Scotland sio Idd Amin wa UgandaUnaamini Iddi Amin alikuwa anahifadhi vichwa vya baadhi ya wapinzani wake waliouwawa Ikulu?
Atauza sana sanaNanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Katika kutafuta ukweli kwa kutumia Hegelian dialectic kuna mfumo unaitwa Thesis -> Antithesis -> Synthesis.1.Alikuwepo wakati president anamshoot?
2.Lengo la kuhangaika na maiti mpaka mto Rufiji ni nini?
3.Kila siku tunasoma humu maiti ya Ben haijawahi onekana hata hata kidogo ,mwandishi ana ushahidi gani kwamba maiti ilitupwa Rufiji?
Niliwalenga watu kama wewe...kwamba sisi ni mafala
Hii nilisoma pia ntajitahidi nitafute ile convo kama ntaipata, Hakuna coincidence ya hivyoMagufuli alifanya hili tukio kwa mkono wake na humu jf ililetwa mpaka thread na ilikuwa ni kipindi ambacho kulikuwa na madai kwamba aliuliwa kwenye Moja ya safe houses za usalama halafu akapelekwa kwenye kisiwa Fulani kule bahari ya Hindi akamezwa na chatu ndio wavuvi wakaja wakaona shati na handkerchief baada ya madai haya ndio jamaa mmoja akaja akasema hapana aliuwawa na JPM kwa mkono wake mwenyewe.
Sema tu unakimbia acha kuisingizia Arsenal.Time's up.
Mechi ya Arsenal inaanza soon. Tukutane siku nyingine
Magu ndie aliye ONDOA Uhai wa Ben kwa mkono wake na alitumia HACKLER 50 AE BLACK PISTOL.Uongo.yaani magufuli ampige risasi yeye mwenyewe?haiwezekani na ni uongo kabisa.Bora angesema alikuawa na wasiojulikana angalau tungeamini na siyo kwamba magufuli mwenyewe eti alimpiga risasi Kwa mikono yake yenyewe.Kabendera acha uongo.Chuki zako za magufuli usimtungie uongo mzalendo wetu magufuli
Itaje hapa mikoa ya Waislam au ngoja nikusaidieTakwimu za hali ya maisha tanzania hazioneshi mikoa yenye waislam wengi kuna umasikini
Vipi kama mwandishi naye aliitoa humu jf kwa huyohuyo mtu uliyesoma wewe? Kwamba hata mimi nikizusha mtu akachukua na kuandika kwenye jarida lake inakuwa kweli?Hii kitu ilishawai kua commented humu JF na one of the credible member of JF, Niliisoma miaka kama 2 nyuma na sasa naisoma hapa, Nimeamua kuamini ni ukweli
Kama unajua kusoma na ku comprehend ulichosoma, sijasema nimeamini maelezo ya Mo, nimesema alichokisema Mo,Dah ila ni kweli kua wabongo wengi tuna akili ndogo kias hiki..yaani wat kutoka nje waje nchi wamteke mfanya biashara number 1 nchi hii asubuhi na mapema wakae nae zaid ya masaa ishirini na nne humu humu ndani..then wamalizane nae wakamtupe bila kujulikana Wala kukamatwa mhusika ata Mmoja,..
Bro ebu tuheshimiane basi.
Unalenga watu using wajua ama wanaokujua zaidi ya unavyo wafahamu?,that man was a real lucifer, he hired witchdoctors and gave them accommodation and other services in the state house and paid themjust to deal with his opponents,,,hujui tuliza.Niliwalenga watu kama wewe...
Watu ambao wakipewa habari wakaambiwa ni ya uchunguzi wanaamini bila kuhoji.
Alimuita pengo na shekhe mkuu ila Sidhani kama walisaidia kitu.Hiyo ndo UBAYA UBWELA sasa Jiwe mwenyewe yuko wapi. Nadhani kabla hajafa huyo Jiwe ile picha ya hilo tendo ilikuwa inamjia
Nimependa sana maelezo haya....Natamani sana ningelisoma hili katika synthesis stage....ila nimekuelewa sana.. (ulivyoanza nilijua unaanza mambo yako ya sijui nini nini fallacy😂😂😂,huwa unanichanganya)Katika kutafuta ukweli kwa kutumia Hegelian dialectic kuna mfumo ubaitwa Thesis -> Antithesis -> Synthesis.
Thesis ni madai kama aliyotoa Kabendera.
Antithesis ni kubishia hayo madai na kuyahakiki tujue yana ukweli kiasi gani na kiasi gani si ya ukweli. Maswali uliyouliza wewe ni muhinu kwa sababu ni sehemu ya uhakiki wa Antithesis.
Tukiyachukua madai ya Thesis na uhakiki wa Antithesis na kufanya uchunguzi zaidi, mfano, kama ingewezekana kupata ushahidi zaidi wa walinzi wa Ikulu (kitu ambacho kwa sasa ni vigumu sana kutokana na sababu za kiusalama na nature ya kazi zao) tungeweza kupata ukweli zaidi na kujua mbivu na mbichi ni zipi na kufikia Synthesis.
Kwa sasa kuna haja ya kupata ushahidi zaidi kuhakiki madai ya Kabendera, ila ukweli ni vigumu kuthibitishika.
Kwa sababu, hata kukosekana kwa ushahidi kuwa Magufuli aliua mwenyewe si ushahidi kwamba Magufuli hakuua.
Kukosekana kwa ushahidi ni kukosekana kwa ushahidi tu. Mume anaweza kuwa anacheat kwenye ndoa yake, na hakuna ushahidi kwamba ana cheat. Kukosekana kwa ushahidi hakumaanishi haja cheat, inawezekana ka cheat ila anajua sana kuficha ushahidi tu.
Lakini pia, kukosekana ushahidi haku prove kuwa kitu kilifanyika. Kukosekana kwa ushahidi kuwa mume kacheat hakumaanishi kacheat na kuficha ushahidi tu, inawezekana hakuna ushahidi kwa sababu haja cheat.
Hivyo, ni muhimu sana kupata ushahidi ili kujiridhisha kuwa kitu kilifanyika.aq
Vipi kama mwandishi naye aliitoa humu jf kwa huyohuyo mtu uliyesoma wewe? Kwamba hata mimi nikizusha mtu akachukua na kuandika kwenye jarida lake inakuwa kweli?
Kwa kua hakuna ushahidi unao justfy ukweli au uongo zinabaki kua rumors, lkn mm nimechagua kuziamini hizo rumorsVipi kama mwandishi naye aliitoa humu jf kwa huyohuyo mtu uliyesoma wewe? Kwamba hata mimi nikizusha mtu akachukua na kuandika kwenye jarida lake inakuwa kweli?