EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Uliviona hivyo vifaru au porojo tuIkulu kuna underground babu,na vifaru vipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliviona hivyo vifaru au porojo tuIkulu kuna underground babu,na vifaru vipo
Kama Kabendera alikuwa amenunuliwa na watu wa nje na serikali ilikuwa na uthibitisho huo ingemnunua tu au kumlipa zaidi aungane na kina Musiba kuisema vizuri, hii ilikuwa njia rahisi zaidi na safi ya kudili naye.Kabendera ni mwandishi wa habari, akawa anaandika taarifa za kiuchunguzi na kutafuta majarida ya nje aziuze, sio asaidie. Mtofautishe na yule mwandishi aliyefariki awamu ya Mwinyi aliyeandika kuhusu Loliondo kuuzwa, huyo alitaka kusaidia nchi.
Waandishi kama Kabendera kuna wanaotuma taarifa nje, kuna wanaopewa agenda kutoka nje waziandike kwa wasomaji wa ndani na wa nje. Mfano andika agenda ya ubaya wa bwawa la umeme linalojengwa, andika ubaya wa bomba la mafuta kutoka Uganda kwamba linachafua mazingira (hii kandarasi walikuwa nayo Wakenya).
Yupi yule banianiKuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
Hawakuwa wanaandika kuuza wapate fedha, walikuwa wanaandika na lengo la kusaidia.Habari za uchunguzi alizokuwa anaandika Kabendera sio siri za usalama wa taifa(state secrets), ni mambo ambayo yalikuwa yako katika public domain kabisa au kumuuliza tu mtu wa kawaida anayefanya kazi ndani ya serikali akakuambia, jambo la ziada labda kwa sababu yeye ni mwandishi habari mzuri kwa Kingereza ambazo zinaweza kusomwa duniani kote level ya Jenerali Ulimwengu ambao ni nadra sana kwa Tanzania ndio maana ilionekana jambo la ajabu na kubwa sana.
Haifai kumfananisha Kabendera na kina Snowden au Chelsea Manning hata Kidogo na wala hajawahi kuhusishwa na mambo ya aina hiyo.
Marekani waandishi wameandika kupinga Ukuta wa Trump, kupinga Immigration plan ya Biden, kupinga Marekani kusaidia Ukraine, wakati wa vita vya Vietnam waandishi walipinga, uvamizi wa Iraq na Afghanistan wapo waandishi waliopinga, kusaidia Israel wapo waandishi wanaopinga
Source 🤷Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Kibao lin, SativaUlimboka alitekwa na kutolewa meno lini?
Mwangosi aliuwawa lini?
Kibanda alitekwa na kutolewa jicho lini?
Jamaa anajitoa fahamu tuPicha ya mwangosi akipigwa bomu ziliwekwa mitandaoni na magazetini uliziona? Hivyo ndio mabomu ya machozi yanavofyatuliwa kwa kupigwa close range tena tumboni kwa mtu? Unataka kusemaje? Umeamua kutetea kilicho chako kiimani kipuuzi kabisa
Waandishi wa habari, makala au analysts wa vyombo vikubwa vya habari duniani wanalipwa pesa nzuri tu, pesa anayolipwa mtu anayeandikia The Economist au The Times haiwezi kuwa ndogo hasa ukizingatia anatoka Tanzania ambapo waandishi wa calibre yake ni wa kutafuta kwa tochi nchini. Sasa Kabendera aliyekuwa anaandikia magazeti mengi makubwa ya kimataifa kwa nini asiwe na pesa nzuri hadi ufikirie kanunuliwa?!Hawakuwa wanaandika kuuza wapate fedha, walikuwa wanaandika na lengo la kusaidia.
Ndio maana nimemtofautisha Kabendera na Mhaya mwenzake aliyeandika kupinga deal la Ngorongoro kati ya serikali ya Mwinyi na Waarabu.
Hata na sisi tunao waandishi waliopinga bwawa la umeme kwenye makala zao. Haimaanishi kila mwandishi aliyepinga alikamatwa. Marekani waliopinga msaada kwa Israel na Ukraine hawana kesi, Snowden aliyetoa siri za surveillance ana kesi.
Video yake plz,🙇Mbona mzee wa alizeti alizabwa makofi na jiwe
RightHakika ni mjinga sana siyo tu kufuatiliwa, ni kuandika uongo maana yake ana washutumu usalama wa taifa wote kuwa walimchukua bs8 na kumpeleka aende kuuawa hahaha ila ni allegation ya kijinga sana tena sana na ya kitoto
Hadi vya kutungulia ndege vipo vile vinavyoambatana kwenye msafara,we unadhani kuna suti na bastola tu pale ikulu!?Uliviona hivyo vifaru au porojo tu
Inawezekana ni moja ya mbinu kati ya nyingi kumchafua hayati JPM na kufifisha legacy yake; kwenye malumbano kusifiana hakupo, kuchafuana ndio mtindo.Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.
hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
LiesKitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3190072View attachment 3190073
ubaya ubwela[emoji57][emoji18][emoji3526][emoji9][emoji11]Kila Ubaya utalipwa
hujui jpm alikuwa shetani auWapi nimesema tumsamehe shetani mkuu?
Katili kuliko Hitler. Lakini eti kuna mijitu inamwita mwamba, tena humu JF. Vijana wengi wa kitanganyika ni majinga jinga tu yaaniJiwe hakuwa mtu mwema na para lake lile