Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Tatizo nyie chawa mbwa hamumjui Magufuli kwa undani. Mnamjua kwa nje tu kupitia zile promo za kwenye TV, redio na magazeti ambavyo alishavinunua vimpromo.
Kaa kimya, humjui Magufuli
 
Serikali waligundua hiyo pesa imetoka nje katika vyanzo au watu gani?

Again that's beyond our discussion in this jukwaa

I thought you could ask how Kabendera can prove such a serious allegation beyond the reasonable doubt.
 
Again that's beyond our discussion in this jukwaa

I thought you could ask how Kabendera can prove such a serious allegation beyond the reasonable doubt.
Kabendera hayuko mahakamani, Andiko la kitabu halihitaji prove beyond the reasonable doubt.
 
Sijawahi ona kwenye law of evidence ikihusisha comparative or relativity evidence. Kila case inajitegemea. Hicho ilichosema hakiwezi kimtia hatiani mtu.

Wewe mwanasheria?

Kwa nini unaongelea the law of evidence? Kwani tupo mahakamani hapa?

Kwa nini unataja the law of evidence bila hata kuelezea unaongelea aspect gani ya the law of evidence na kuinyambulisha?

The law of evidence ikisema usiku ni mchana na mchana ni usiku, usiku utageuka mchana na mchana utageuka usiku?

Kwani wapi tumeongea kumtia hatiani mtu kisheria?

Unaelewa kuwa suala la kumtia hatiani mtu lina standard kubwa sana kama beyond reasonable doubt na technicalities nyingi ambazo hapa kwenye court of public opinion tunapotafuta ukweli bila ya standards za kumtia mtu hatiani kimahakama hatuna hizo standards?

Kwani wauaji wangapi wanakuwa hawatiwi hatiani kwa sababu ya kukosekana ushahidi wa beyond reasonabke doubt au legal technicalities nyingine kibao?

Wasipotiwa hatiani kwa sababu hizo wakati wameua kweli na kila mtu anajua hilo linamaanisha nini? Linamaanisha hawajaua?

Kwa nini unafikiri sheria ni kila kitu wakati hata sheria mbalimbaki za nchi tofauti zinatofautiana na kila siku zinabadilishwa ili kuendana na maarifa mapya, teknolojia, tamaduni mpya, etc?
 
Kwa hiyo unaweza kuandika chochote kile bila ushahidi kwa sababu hauko mahakamani?
Wewe unataka ushahidi gani?

Pia unaweza kuandika chochote unachoona kinafaa, kama kuna mtu ana tatizo na kilichoandikwa ataenda kufungua kesi mahakamani.
 
What is your point?

Hakubeba bunduki kila mara?

Hiyo picha inawezekana ni sehemu ya kutengeneza plausibility kwamba Magufuli alimuua Saanane kwa mkono wake mwenyewe.

Ukiweka madai kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, kwa bastola, wakati hakuna ushahidi wowote kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alikuwa na bastola, hatujui hata kama alijua kutumia bastola, madai hayo yanapata ugumu kukubalika.

Ukiweka madai kwamba Magufuli alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, ingawa madai hayo bado yana ugumu kuyahakiki, lakini ugumu wake si mkubwa kama yale madai ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi, kwa sababu angalau Magufuli tunajua alikuwa na bastola, kuna ushahidi wa picha anaionesha, most likely anajua kuitumia.

Hiyo picha ni ya Magufuli, inajulikana, huwezi kusema kapakaziwa picha si yake.

What is your point?
Mtu kwenda kusajiri silaha ni us

Point yake ni kuwa kwa kutumia picha hiyo atapata watu wengi watakaoamini,kumbuka majority ya watu hawafikirii other possibilities zaidi ya kuamini kila kinachoandikwa na magazeti/vitabu,kisaikolojia picha zinaplay part kubwa on convincing hadhira na ndo maana mwandishi akimponda mtu kuwa ana roho mbaya hatoweka picha yake akiwa kanisani anasali atatafuta picha aliyokunja sura au inayofananafanana na habari yake.Ni mjinga wa mwisho atakayeamini Magufuli alimshoot Ben yeye mwenyewe.
 
Wewe unataka ushahidi gani?

Pia unaweza kuandika chochote unachoona kinafaa, kama kuna mtu ana tatizo na kilichoandikwa ataenda kufungua kesi mahakamani.

Kwa hiyo kwa akili zako mtu akisema jambo tayari linageuka kuwa ushahidi?
 
Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa nchi. Je mamlaka zimetoa ruhusa kutumika picha yake kwenye "kitabu cha aina hii"?
Kuna sheria gani inalazimisha mwananchi kupata ruhusa ya mamlaka kutumia picha ya mtu aliyekuwa rais?

Una hakika hiyo ni picha ya Magufuli?

Picha kumuonesha Magufuli haimaanishi hiyo ni picha ya Magufuli. Kuna mpiga picha ana copyright ya hiyo picha, huyo ndiye mwenye picha.

Swali la kuuliza hapa ni kama Kabendera ana ruhusa ya mwenye copyright ya hiyo picha kuitumia?

Magufuli was a public servant. Pubkic servant number one. His inage is public property.
 
Mtu kwenda kusajiri silaha ni us
Point yake ni kuwa kwa kutumia picha hiyo atapata watu wengi watakaoamini,kumbuka majority ya watu hawafikirii other possibilities zaidi ya kuamini kila kinachoandikwa na magazeti/vitabu,kisaikolojia picha zinaplay part kubwa on convincing hadhira na ndo maana mwandishi akimponda mtu kuwa ana roho mbaya hatoweka picha yake akiwa kanisani anasali atatafuta picha aliyokunja sura au inayofananafanana na habari yake.Ni mjinga wa mwisho atakayeamini Magufuli alimshoot Ben yeye mwenyewe.
Utapata watu wengi watakaoamini nini?

Mfungulieni kesi mahakamani Kabendera atoe ushahidi kwamba Magufuli kaua. Aje mahakamani kutoa ushahidi.

Kwa nini mnataka kumpangia picha za kutumia wakati kama kadanganya mnaweza kumshitaki?
 
Kwa hiyo kwa akili zako mtu akisema jambo tayari linageuka kuwa ushahidi?
Sio lazima kila jambo linalosemwa linageuka kuwa ushahidi, kama unahitaji ushahidi thabiti subiria kesi ifunguliwe mahakamani.

Mchungaji Msigwa aliwahi kusema Kinana anafanya biashara haramu ya pembe za ndovu akafunguliwa kesi na Kinana akashindwa na kutakiwa kuomba msamaha.

Cyprian Musiba aliwahi kutoa kauli za kumchafua Fatma Karume akafunguliwa kesi ambayo alishindwa na kutakiwa kulipa mabilioni ya pesa kama fidia.
 
Tatizo nyie chawa mbwa hamumjui Magufuli kwa undani. Mnamjua kwa nje tu kupitia zile promo za kwenye TV, redio na magazeti ambavyo alishavinunua vimpromo.
Kaa kimya, humjui Magufuli
...'chawa mbwa'... Kwa uelewa wangu hili ni tusi, vinginevyo kama kuna maana tofauti, ngoja nikuvumilie.

Maelezo ya 'haki' huambatana na vielelezo.

Na vielelezo si lazima viwe vya picha ama maandishi, bali vielelezo vyenye mashiko.

Mtu akitoa maelezo yenye kujitosheleza hakuna mtu atakaye kataa ama kutetea.

Lakini kwa uandishi wa jumla jumla kwa jambo kubwa la aina hiyo tena kwa kusikia, yaweza kuwa ni mbinu ya kupakaziana chuki kwa marehemu asiyeweza kujitetea.

Tuhuma nzito namna hiyo alitakiwa aitolee maelezo ya kina, kuanzia tarehe ya tukio, walioshuhudia, waliohusika kuuondosha mwili Ikulu na kwenda kuutupa mtoni na maeneo ulipotupiwa nk nk ili habari hiyo iweze kupata uzito.

Tunaelewa Kabendera alisoteshwa ndani, yaweza kuwa kaandika kwa kulipiza visasi, sasa aweke vielelezo vyenye mashiko ili aeleweke.

Vinginevyo hii katengeneza taharuki isiyo na maana na inaweza kumgharimu.
 
Vinginevyo hii jatengeneza taharuki na inaweza kumgharimu.
Mkuu,

Umesoma kitabu?
 
Back
Top Bottom