Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Inawezekana Ben Saanane alishughulikiwa kiutawala??Kuna sina mengine yanashughulikiwa kiutawala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana Ben Saanane alishughulikiwa kiutawala??Kuna sina mengine yanashughulikiwa kiutawala
Tatizo nyie chawa mbwa hamumjui Magufuli kwa undani. Mnamjua kwa nje tu kupitia zile promo za kwenye TV, redio na magazeti ambavyo alishavinunua vimpromo.Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.
hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Serikali waligundua hiyo pesa imetoka nje katika vyanzo au watu gani?
Inawezekana Ben Saanane alishughulikiwa kiutawala??
Kabendera hayuko mahakamani, Andiko la kitabu halihitaji prove beyond the reasonable doubt.Again that's beyond our discussion in this jukwaa
I thought you could ask how Kabendera can prove such a serious allegation beyond the reasonable doubt.
[emoji419][emoji419][emoji375]Hakuna aya yoyote kwenye vitabu vya Mungu iliyoagiza tumsamehe Shetani
Kabendera hayuko mahakamani, Andiko la kitabu halihitaji prove beyond the reasonable doubt.
Sijui,Unajua madhara ya uandishi wa kishabiki wa aina hiyo kwa nchi?
Sijawahi ona kwenye law of evidence ikihusisha comparative or relativity evidence. Kila case inajitegemea. Hicho ilichosema hakiwezi kimtia hatiani mtu.
Eric sio Mjinga ajilipue namna hiii.
Anaweza akawa na ushahidi😂😂
Wewe unataka ushahidi gani?Kwa hiyo unaweza kuandika chochote kile bila ushahidi kwa sababu hauko mahakamani?
Mtu kwenda kusajiri silaha ni usWhat is your point?
Hakubeba bunduki kila mara?
Hiyo picha inawezekana ni sehemu ya kutengeneza plausibility kwamba Magufuli alimuua Saanane kwa mkono wake mwenyewe.
Ukiweka madai kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, kwa bastola, wakati hakuna ushahidi wowote kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alikuwa na bastola, hatujui hata kama alijua kutumia bastola, madai hayo yanapata ugumu kukubalika.
Ukiweka madai kwamba Magufuli alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, ingawa madai hayo bado yana ugumu kuyahakiki, lakini ugumu wake si mkubwa kama yale madai ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi, kwa sababu angalau Magufuli tunajua alikuwa na bastola, kuna ushahidi wa picha anaionesha, most likely anajua kuitumia.
Hiyo picha ni ya Magufuli, inajulikana, huwezi kusema kapakaziwa picha si yake.
What is your point?
Point yake ni kuwa kwa kutumia picha hiyo atapata watu wengi watakaoamini,kumbuka majority ya watu hawafikirii other possibilities zaidi ya kuamini kila kinachoandikwa na magazeti/vitabu,kisaikolojia picha zinaplay part kubwa on convincing hadhira na ndo maana mwandishi akimponda mtu kuwa ana roho mbaya hatoweka picha yake akiwa kanisani anasali atatafuta picha aliyokunja sura au inayofananafanana na habari yake.Ni mjinga wa mwisho atakayeamini Magufuli alimshoot Ben yeye mwenyewe.What is your point?
Hakubeba bunduki kila mara?
Hiyo picha inawezekana ni sehemu ya kutengeneza plausibility kwamba Magufuli alimuua Saanane kwa mkono wake mwenyewe.
Ukiweka madai kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, kwa bastola, wakati hakuna ushahidi wowote kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alikuwa na bastola, hatujui hata kama alijua kutumia bastola, madai hayo yanapata ugumu kukubalika.
Ukiweka madai kwamba Magufuli alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, ingawa madai hayo bado yana ugumu kuyahakiki, lakini ugumu wake si mkubwa kama yale madai ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi, kwa sababu angalau Magufuli tunajua alikuwa na bastola, kuna ushahidi wa picha anaionesha, most likely anajua kuitumia.
Hiyo picha ni ya Magufuli, inajulikana, huwezi kusema kapakaziwa picha si yake.
What is your point?
Sijui,
Madhara yake ni nini kwa nchi?
Wewe unataka ushahidi gani?
Pia unaweza kuandika chochote unachoona kinafaa, kama kuna mtu ana tatizo na kilichoandikwa ataenda kufungua kesi mahakamani.
Kuna sheria gani inalazimisha mwananchi kupata ruhusa ya mamlaka kutumia picha ya mtu aliyekuwa rais?Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa nchi. Je mamlaka zimetoa ruhusa kutumika picha yake kwenye "kitabu cha aina hii"?
Utapata watu wengi watakaoamini nini?Mtu kwenda kusajiri silaha ni us
Point yake ni kuwa kwa kutumia picha hiyo atapata watu wengi watakaoamini,kumbuka majority ya watu hawafikirii other possibilities zaidi ya kuamini kila kinachoandikwa na magazeti/vitabu,kisaikolojia picha zinaplay part kubwa on convincing hadhira na ndo maana mwandishi akimponda mtu kuwa ana roho mbaya hatoweka picha yake akiwa kanisani anasali atatafuta picha aliyokunja sura au inayofananafanana na habari yake.Ni mjinga wa mwisho atakayeamini Magufuli alimshoot Ben yeye mwenyewe.
Sio lazima kila jambo linalosemwa linageuka kuwa ushahidi, kama unahitaji ushahidi thabiti subiria kesi ifunguliwe mahakamani.Kwa hiyo kwa akili zako mtu akisema jambo tayari linageuka kuwa ushahidi?
...'chawa mbwa'... Kwa uelewa wangu hili ni tusi, vinginevyo kama kuna maana tofauti, ngoja nikuvumilie.Tatizo nyie chawa mbwa hamumjui Magufuli kwa undani. Mnamjua kwa nje tu kupitia zile promo za kwenye TV, redio na magazeti ambavyo alishavinunua vimpromo.
Kaa kimya, humjui Magufuli
Mkuu,...'chawa mbwa'... Kwa uelewa wangu hili ni tusi, vinginevyo kama kuna maana tofauti, ngoja nikuvumilie.
Maelezo ya 'haki' huambatana na vielelezo.
Na vielelezo si lazima viwe vya picha ama maandishi, bali vielelezo vyenye mashiko.
Mtu akitoa maelezo yenye kujitosheleza hakuna mtu atakaye kataa ama kutetea.
Lakini kwa uandishi wa jumla jumla kwa jambo kubwa la aina hiyo tena kwa kusikia, yaweza kuwa ni mbinu ya kupakaziana chuki kwa marehemu asiyeweza kujitetea.
Tuhuma nzito namna hiyo alitakiwa aitolee maelezo ya kina, kuanzia tarehe ya tukio, walioshuhudia, waliohusika kuuondosha mwili Ikulu na kwenda kuutupa mtoni na maeneo ulipotupiwa nk nk ili habari hiyo iweze kupata uzito.
Tunaelewa Kabendera alisoteshwa ndani, yaweza kuwa kaandika kwa kulipiza visasi, sasa aweke vielelezo vyenye mashiko ili aeleweke.
Vinginevyo hii jatengeneza taharuki na inaweza kumgharimu.