Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

View attachment 2386088
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana

====
Aliyoandika Kabendera

Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya bunduki wakati Mwendazake akiangalia kupitia CCTV, mkalazimishwa kutoa pesa mjitokeze.

Kuna mfanyabiashara maarufu alipitia mateso makali kwa kipindi cha miaka minne, ikiwemo kubinywa korodani, akilazimishwa aseme uongo kuwa alitoa dola milioni 100 kwa Rais Kikwete. Mwendazake alitaka kutumia ushahidi huo kumkamata Kikwete. Ni lazima atendewe haki.

Tuhuma dhidi ya Mwendazake kuanzisha na kuendesha genge la kihalifu nje ya mfumo wa serikali na kutoa maelekezo kwa genge hili kuwaua viongozi wa vyama vya upinzani, CCM na viongozi wakuu wastaafu ambao wangekuwa kikwazo kwake kutawala milele zichunguzwe pia.

Si mara ya kwanza zoezi kama hili kufanyika; Rais Mwinyi aliunda tume ya kupitia upya kesi zote ya uhujumu uchumi alizoziendesha Sokoine baada ya kuingia madarakani na kuna watu walirudishiwa mali zao.

Binafsi nimeombwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kwa mamlaka husika kuhusu vitisho alivyovitoa Ndugu Biswalo dhidi yangu mara kwa mara baada kuachiwa huru na nimefanya hivyo.
Hizi tetesi zilikuwepo.
Moja ya tetesi ni kwamba, JK alitonywa na wasamaria wema kwenye dola kuwa usiku huu utatembelewa, hivyo badili makzi yako kwa udiku huu. JK akaenda kulala kwa ndugu anayejulikana usiku huo.
Jamaa wakafika kweli, wakamkosa.
 
Tukiwa wakweli.
Ingekuwa nchi za wenzetu Kikwete sasahivi asingekuwa jela?
 
Wewe ndio huna akili, JPM kafanya vitu vinavyojitetea vyenyewe bila hata kuhitaji utetezi wa mtu yoyote.

SGR inamalizika muda huu. Ndege aliacha 12 zinafanya biashara. Madaraja na barabara ndio usiseme. REA inaifungua Tanzania kwenye suala la umeme.

Mengi sana alifanya JPM na yanaendelea kumtetea huko alipolala.
Sidhani kama hoja hapa ni kwamba JPM hakujenga SGR, hakununua ndege, REA,....
Kinachojadiliwa hapa ni kuendesha genge la wahuni.
 
Unajua alivokuwa anamtesa?? Aliwahi kumbebesha matofali na wanae lori zima .alizaa na mdogo ake wa damu kabisa,alikuwa anampiga sana kuna kipindi alivunjwa mguu akalazwa mange akasanua
Hilo linafahamika nchi nzima
 
Hizi tetesi zilikuwepo.
Moja ya tetesi ni kwamba, JK alitonywa na wasamaria wema kwenye dola kuwa usiku huu utatembelewa, hivyo badili makzi yako kwa udiku huu. JK akaenda kulala kwa ndugu anayejulikana usiku huo.
Jamaa wakafika kweli, wakamkosa.
Aiseee🙄🙄
 
Unavyopayuka utafikiri wewe utaishi milele, na wakati utakufa mwezi ujao tu hapa na kila mtu atakusahau akiwemo baba ako.
Jiwe amekufa miaka 3 iliyopita. Bado wewe mfuasi wake.
 
Jiwe amekufa miaka 3 iliyopita. Bado wewe mfuasi wake.
Mimi mpaka wewe na familia yako wote mfe ndio na mimi ntafuata hapo baadae..

Unaleta chuki za kishoga hapa, na utaendelea kuumia mpaka kiama chako.
 
Mimi mpaka wewe na familia yako wote mfe ndio na mimi ntafuata hapo baadae..

Unaleta chuki za kishoga hapa, na utaendelea kuumia mpaka kiama chako.
Jiwe kafa nawe lazima ufuate.
 
Unajua alivokuwa anamtesa?? Aliwahi kumbebesha matofali na wanae lori zima .alizaa na mdogo ake wa damu kabisa,alikuwa anampiga sana kuna kipindi alivunjwa mguu akalazwa mange akasanua
Mange? Kwamba ndio reference yako ya kuaminika?

Aisee kweli watanganyika baadhi yenu hamna tofauti na kondoo au nguruwe
 
Back
Top Bottom