Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Magufuli ni kiboko, keshakufa lakini bado nguvu yake haipoi mnatumia kila mbinu kuiondoa legacy yake lakini bado mmeshindwa, Pumzika pamoja na Malaika wa Bwana Mwamba, tulikuelewa sana.View attachment 2386088
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana
Ndio mzalendo namba moja kwa sababu nasikia ndio aliyetuondolea lile nyangumi lililokuwa linaua watanzaniaHuyo muhuni wa Msoga ndiyo anaharibu nchi,msifieni sana Ila siku mukimjua vizuri mtabaki midomo wazi.Nadhani tutaelewana muda ukifika,kwasasa bidhaa ambayo haijapanda Bei ni Chumvi ya mboga tu.
Simba wa yuda hasemwiungesema angali akiwa hai,
Nyerere je? Kùna positive na kuna Negative legacyMagufuli ni kiboko, keshakufa lakini bado nguvu yake haipoi mnatumia kila mbinu kuiondoa legacy yake lakini bado mmeshindwa, Pumzika pamoja na Malaika wa Bwana Mwamba, tulikuelewa sana.
OooooooooohDuh!
Ndio maana alisema kuna wastaafu wanawashwawashwa.
Huyu Bwana alikuwa ni mtu hatari sana!
Ukiangalia ile picha aliyokuwa amepiga magoti akiomba kura kwenye kampeni za 2020, unaweza hata kumuonea huruma na ukapata picha kuwa ni mtu mpole na humble, kumbe ni kinyume chake kabisa!
Niliwahi sema humu na leo narudia: Mwendazake alikuwa na kipaji kikubwa sana cha uigizaji, sema tu hakuingia kwenye hiyo sanaa ange-fit zaidi huko.
Ilikuwa safi sana kwa Jpm Kuwakomesha wahuni wote walioifikisha hii nchi hapa ilipoKupewa hela na wazungu hata serikali wanapewa sana, wao wanapewa za nini? Haya wanayosema akina Kabendera ni ukweli usioacha shaka yoyote kuwa tulikuwa na kiongozi mumiani. Tena hayo wanayosema ni machache, ila dhalimu aliendesha unyama mwingi sana.
View attachment 2386088
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana
====
Aliyoandika Kabendera
Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya bunduki wakati Mwendazake akiangalia kupitia CCTV, mkalazimishwa kutoa pesa mjitokeze.
Kuna mfanyabiashara maarufu alipitia mateso makali kwa kipindi cha miaka minne, ikiwemo kubinywa korodani, akilazimishwa aseme uongo kuwa alitoa dola milioni 100 kwa Rais Kikwete. Mwendazake alitaka kutumia ushahidi huo kumkamata Kikwete. Ni lazima atendewe haki.
Tuhuma dhidi ya Mwendazake kuanzisha na kuendesha genge la kihalifu nje ya mfumo wa serikali na kutoa maelekezo kwa genge hili kuwaua viongozi wa vyama vya upinzani, CCM na viongozi wakuu wastaafu ambao wangekuwa kikwazo kwake kutawala milele zichunguzwe pia.
Si mara ya kwanza zoezi kama hili kufanyika; Rais Mwinyi aliunda tume ya kupitia upya kesi zote ya uhujumu uchumi alizoziendesha Sokoine baada ya kuingia madarakani na kuna watu walirudishiwa mali zao.
Binafsi nimeombwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kwa mamlaka husika kuhusu vitisho alivyovitoa Ndugu Biswalo dhidi yangu mara kwa mara baada kuachiwa huru na nimefanya hivyo.
Mtu mwenye mawazo, maneno na matendo kama haya, Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!Kabebdera anataka Uteuzi tu huyu hana Jipya,
Ni kama Paschal Mayala tu
Kama JPM angetaka kumkamata wala asingehitaji makosa ya kubambika kwani makosa yapo mengi tena mazito tangu enzi ya uwaziri.View attachment 2386088
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana
====
Aliyoandika Kabendera
Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya bunduki wakati Mwendazake akiangalia kupitia CCTV, mkalazimishwa kutoa pesa mjitokeze.
Kuna mfanyabiashara maarufu alipitia mateso makali kwa kipindi cha miaka minne, ikiwemo kubinywa korodani, akilazimishwa aseme uongo kuwa alitoa dola milioni 100 kwa Rais Kikwete. Mwendazake alitaka kutumia ushahidi huo kumkamata Kikwete. Ni lazima atendewe haki.
Tuhuma dhidi ya Mwendazake kuanzisha na kuendesha genge la kihalifu nje ya mfumo wa serikali na kutoa maelekezo kwa genge hili kuwaua viongozi wa vyama vya upinzani, CCM na viongozi wakuu wastaafu ambao wangekuwa kikwazo kwake kutawala milele zichunguzwe pia.
Si mara ya kwanza zoezi kama hili kufanyika; Rais Mwinyi aliunda tume ya kupitia upya kesi zote ya uhujumu uchumi alizoziendesha Sokoine baada ya kuingia madarakani na kuna watu walirudishiwa mali zao.
Binafsi nimeombwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kwa mamlaka husika kuhusu vitisho alivyovitoa Ndugu Biswalo dhidi yangu mara kwa mara baada kuachiwa huru na nimefanya hivyo.
Hata huyo mkwere naye alivuruga na anajua hilo. Haya mambo ukiyaelewa kwa undani sana sana utasema: ''du mafisi kumbe yalifika hatua ya kusalitiana kiasi hiki?''Jitu litoke huko lilikotoka lije limtishie Mkwere nyau, madaraka yalimlevya.
☠️💀🏴☠️⚰️ hivi hawajifunzi kuwa mfumo unatafuta watu??? Hivi kauli kama hii kwa wale wafiwa kwenye mfumo wanajisikiaje? Hivi kabendera anadhani anamuweka position gani rais wetu Samia na Kikwete??? Nadhani Kabendera ni mjinga and he could be killed na mfumo kwa sababu he is endangering the life ya viongozi kwa kauli za kichochezi, maana kuna watu mpaka sasa they believe Dkt Magufuli was killed na wahusika wana assume wanawajua. Sasa wewe mwandishi kweli unakuja na kauli kama hii, dah inasikitisha sana. Dkt Kikwete tunamuhitaji na Mama Samia we need her dearly, Dkt Magufuli hayupo hivyo hatuwezi kujenga umaarufu au justifications ya uwepo wa Rais Samia na Kikwete kwa kushangilia eti bora Magufuli alikufa, yaani hii nchi haitatulia people watalipiza visasi. Nadhani mfumo ukomeshe mambo ya kuchonganisha serikali ili watu tuwaze maendeleo tu.View attachment 2386088
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana
====
Aliyoandika Kabendera
Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya bunduki wakati Mwendazake akiangalia kupitia CCTV, mkalazimishwa kutoa pesa mjitokeze.
Kuna mfanyabiashara maarufu alipitia mateso makali kwa kipindi cha miaka minne, ikiwemo kubinywa korodani, akilazimishwa aseme uongo kuwa alitoa dola milioni 100 kwa Rais Kikwete. Mwendazake alitaka kutumia ushahidi huo kumkamata Kikwete. Ni lazima atendewe haki.
Tuhuma dhidi ya Mwendazake kuanzisha na kuendesha genge la kihalifu nje ya mfumo wa serikali na kutoa maelekezo kwa genge hili kuwaua viongozi wa vyama vya upinzani, CCM na viongozi wakuu wastaafu ambao wangekuwa kikwazo kwake kutawala milele zichunguzwe pia.
Si mara ya kwanza zoezi kama hili kufanyika; Rais Mwinyi aliunda tume ya kupitia upya kesi zote ya uhujumu uchumi alizoziendesha Sokoine baada ya kuingia madarakani na kuna watu walirudishiwa mali zao.
Binafsi nimeombwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kwa mamlaka husika kuhusu vitisho alivyovitoa Ndugu Biswalo dhidi yangu mara kwa mara baada kuachiwa huru na nimefanya hivyo.
Mtu kutokuwepo ndiyo mabaya yake hayasemwi? Hitler mpaka kesho mpaka keshokutwa atasemwa. Kusema mabaya na mazuri ya marehemu ni moja ya njia ya kujifunza na kutorudia makosa.Shida ni kwamba HAYUPO
Ni hawa watu wanaosoma ili kupata vyeti na siyo kuelimika bila shaka. Inaonyesha amekwama kimaisha na akadhani Magufuli ndiye mbaya wake. Angekuwa ameelimika angejua kuwa mfumo wetu wa utawala ndiyo adui mkubwa na ndiyo ulisababisha asomee vyeti badala ya elimu.Kuna jamaa yangu mmoja ni jobless ana digrii mbili za afya...huwa ananiambia kwa jinsi anavyomchukia magufuri anatamani apate nafasi ya kukojolea kaburi la magu au ikiwezekana achume kiboko alichapeee kaburi viboko mpaka machungu yake yaishe😑😑😑
Ni lini mwendazake aliwahi kuheshimu katiba. Aliamini anaweza kufanya lolote muda wowote. Sijashangaa kusikia alikua na hiyo mipango kwa sababu hulka yake ilikua inajuljkana.Kabendera kaandika uongo
Katiba ya nchi inamlinda Raisi akiondoka madarakani hairuhusiwi kumkata wala kumshtaki kwa lolote alilotenda akiwa Raisi
Analindwa na katiba
Kabendera yuko sifuri kichwani kuhusu katiba