Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Kuna jamaa yangu mmoja ni jobless ana digrii mbili za afya...huwa ananiambia kwa jinsi anavyomchukia magufuri anatamani apate nafasi ya kukojolea kaburi la magu au ikiwezekana achume kiboko alichapeee kaburi viboko mpaka machungu yake yaishe😑😑😑
 
Duh!

Ndio maana alisema kuna wastaafu wanawashwawashwa.

Huyu Bwana alikuwa ni mtu hatari sana!

Ukiangalia ile picha aliyokuwa amepiga magoti akiomba kura kwenye kampeni za 2020, unaweza hata kumuonea huruma na ukapata picha kuwa ni mtu mpole na humble, kumbe ni kinyume chake kabisa!

Niliwahi sema humu na leo narudia: Mwendazake alikuwa na kipaji kikubwa sana cha uigizaji, sema tu hakuingia kwenye hiyo sanaa ange-fit zaidi huko.
Ooooooooooh
 
Kupewa hela na wazungu hata serikali wanapewa sana, wao wanapewa za nini? Haya wanayosema akina Kabendera ni ukweli usioacha shaka yoyote kuwa tulikuwa na kiongozi mumiani. Tena hayo wanayosema ni machache, ila dhalimu aliendesha unyama mwingi sana.
Ilikuwa safi sana kwa Jpm Kuwakomesha wahuni wote walioifikisha hii nchi hapa ilipo
 
View attachment 2386088
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana

====
Aliyoandika Kabendera

Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya bunduki wakati Mwendazake akiangalia kupitia CCTV, mkalazimishwa kutoa pesa mjitokeze.

Kuna mfanyabiashara maarufu alipitia mateso makali kwa kipindi cha miaka minne, ikiwemo kubinywa korodani, akilazimishwa aseme uongo kuwa alitoa dola milioni 100 kwa Rais Kikwete. Mwendazake alitaka kutumia ushahidi huo kumkamata Kikwete. Ni lazima atendewe haki.

Tuhuma dhidi ya Mwendazake kuanzisha na kuendesha genge la kihalifu nje ya mfumo wa serikali na kutoa maelekezo kwa genge hili kuwaua viongozi wa vyama vya upinzani, CCM na viongozi wakuu wastaafu ambao wangekuwa kikwazo kwake kutawala milele zichunguzwe pia.

Si mara ya kwanza zoezi kama hili kufanyika; Rais Mwinyi aliunda tume ya kupitia upya kesi zote ya uhujumu uchumi alizoziendesha Sokoine baada ya kuingia madarakani na kuna watu walirudishiwa mali zao.

Binafsi nimeombwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kwa mamlaka husika kuhusu vitisho alivyovitoa Ndugu Biswalo dhidi yangu mara kwa mara baada kuachiwa huru na nimefanya hivyo.

Erick Kabendera umefufuka tena?​

Kama JPM angetaka kumkamata wala asingehitaji makosa ya kubambika kwani makosa yapo mengi tena mazito tangu enzi ya uwaziri.

Ni wazi una chuki dhidi ya JPM kwa sababu uliwekwa ndani kipindi chake.

Mbona Rugemalira alikomaa mpaka mwisho? Plea bargain ipo kisheria na imepitishwa na bunge na ni hiyari ya mtuhumiwa sio lazima hata sasa inaendekea kutumika; hata juzijuzi katika kesi ya Sabaya imetumika kuwaachia watuhumiwa wenzake na Sabaya.

Kama hiyo sheria mnaona haifai pelekeni muswada bungeni ifutwe.
 
Hata kama waliobakia wakishitakiwa bado hakuna ushahidi kama kweli walifanya waliyofanya kwa maagizo ya Mwendazake sababu Mwendazake hayupo na hawezi kujitetea. Kwakifupi hapo hakuna kesi tena sababu mtuhumiwa namba 1 ameshafariki.
 
View attachment 2386088
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana

====
Aliyoandika Kabendera

Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya bunduki wakati Mwendazake akiangalia kupitia CCTV, mkalazimishwa kutoa pesa mjitokeze.

Kuna mfanyabiashara maarufu alipitia mateso makali kwa kipindi cha miaka minne, ikiwemo kubinywa korodani, akilazimishwa aseme uongo kuwa alitoa dola milioni 100 kwa Rais Kikwete. Mwendazake alitaka kutumia ushahidi huo kumkamata Kikwete. Ni lazima atendewe haki.

Tuhuma dhidi ya Mwendazake kuanzisha na kuendesha genge la kihalifu nje ya mfumo wa serikali na kutoa maelekezo kwa genge hili kuwaua viongozi wa vyama vya upinzani, CCM na viongozi wakuu wastaafu ambao wangekuwa kikwazo kwake kutawala milele zichunguzwe pia.

Si mara ya kwanza zoezi kama hili kufanyika; Rais Mwinyi aliunda tume ya kupitia upya kesi zote ya uhujumu uchumi alizoziendesha Sokoine baada ya kuingia madarakani na kuna watu walirudishiwa mali zao.

Binafsi nimeombwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kwa mamlaka husika kuhusu vitisho alivyovitoa Ndugu Biswalo dhidi yangu mara kwa mara baada kuachiwa huru na nimefanya hivyo.
☠️💀🏴‍☠️⚰️ hivi hawajifunzi kuwa mfumo unatafuta watu??? Hivi kauli kama hii kwa wale wafiwa kwenye mfumo wanajisikiaje? Hivi kabendera anadhani anamuweka position gani rais wetu Samia na Kikwete??? Nadhani Kabendera ni mjinga and he could be killed na mfumo kwa sababu he is endangering the life ya viongozi kwa kauli za kichochezi, maana kuna watu mpaka sasa they believe Dkt Magufuli was killed na wahusika wana assume wanawajua. Sasa wewe mwandishi kweli unakuja na kauli kama hii, dah inasikitisha sana. Dkt Kikwete tunamuhitaji na Mama Samia we need her dearly, Dkt Magufuli hayupo hivyo hatuwezi kujenga umaarufu au justifications ya uwepo wa Rais Samia na Kikwete kwa kushangilia eti bora Magufuli alikufa, yaani hii nchi haitatulia people watalipiza visasi. Nadhani mfumo ukomeshe mambo ya kuchonganisha serikali ili watu tuwaze maendeleo tu.
 
Kuna jamaa yangu mmoja ni jobless ana digrii mbili za afya...huwa ananiambia kwa jinsi anavyomchukia magufuri anatamani apate nafasi ya kukojolea kaburi la magu au ikiwezekana achume kiboko alichapeee kaburi viboko mpaka machungu yake yaishe😑😑😑
Ni hawa watu wanaosoma ili kupata vyeti na siyo kuelimika bila shaka. Inaonyesha amekwama kimaisha na akadhani Magufuli ndiye mbaya wake. Angekuwa ameelimika angejua kuwa mfumo wetu wa utawala ndiyo adui mkubwa na ndiyo ulisababisha asomee vyeti badala ya elimu.
 
Magufuli nikiongozi bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili.yaani hata mumchafue vipi amewakuna kunako takiwa kwani kumkamata kiongozi wa mafisadi nizambi
 
Magufuri ndio baba wataifa tunae mkumbuka akilini mwetu
 
Kabendera kaandika uongo

Katiba ya nchi inamlinda Raisi akiondoka madarakani hairuhusiwi kumkata wala kumshtaki kwa lolote alilotenda akiwa Raisi

Analindwa na katiba

Kabendera yuko sifuri kichwani kuhusu katiba
Ni lini mwendazake aliwahi kuheshimu katiba. Aliamini anaweza kufanya lolote muda wowote. Sijashangaa kusikia alikua na hiyo mipango kwa sababu hulka yake ilikua inajuljkana.
 
Back
Top Bottom