Erick Omondi afanya REFIX ya KULIKO JANA.. acha yule mbongo aendeleze majungu

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,083
Wakuu hii ni mpya tu baada ya yule jamaa kuropoka

hivi karibuni niliona uzi hapa kuhusu msaniii mmoja wa bongo movie akituponda watanzania tunaom suppport Omondi

Hivi anapata wapi nguvu hiyo ? Omondi ni mtu wa anga zingine jamani ...
Haya mambo huyo steve hawezi yafanya

Omondi ni kichwa kingine kile ....steve mpaka anakufa hatokaa amfikie jamaa kwa mafanikio kwenye comedy.... and tukubali tukatae Kenya wako vzr kwenye stand up comedy....huwa nafuatilia ile show ya Churchill wako vzr ijapokuwa kiswahili chao hakipo straight lkn still huwezi walinganisha na hizi mburula za kibongo
 
Kaka...nimecheki hapo kaigiza yupo msalabani utafikiri kweli.... Yule steve badala ya ku mingle na Omondi anamponda..kha
 
Kati ya mtu ambaye ameua soko la bongo movie ni Steve, Jamaa alipopewa uenyekiti tu wa bongo movie alianza kuwalazimisha wenzeka kujiunga na CCM. Hili jambo lisababisha watu kuwachukia wasanii na kazi zao kabisa. Kenyewe hakuna kanachofanya tz halafu kanawaponda wenzie wanaopiga kazi na zinaonekana. Hovyo kabisa
 
Siasa na Usanii bongo ni kama sumu na maziwa
 
Omondi ni kichwa kingine kile ....steve mpaka anakufa hatokaa amfikie jamaa kwa mafanikio kwenye comedy.... and tukubali tukatae Kenya wako vzr kwenye stand up comedy....huwa nafuatilia ile show ya Churchill wako vzr ijapokuwa kiswahili chao hakipo straight lkn still huwezi walinganisha na hizi mburula za kibongo
Kumbuka Erick Omondi ni msomi wa Chuo kikuu na kale kabwana gumbalu. Sasa hapo mizani inakuwaje
 
Punguzeni ukali Wa Maneno jamani.Kuweni wazalendo,unamsifia Mke Wa jirani yako kwamba ana chura Wa ukweli mbele ya mkeo?
 
Back
Top Bottom