Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well saidSteve kwani msanii si mjanja mjanja tu yule msanii gani miaka nenda rudi anafanya jambo lile hakuna jipya zaidi ya ujanja tu R. I. P ngosha kanumba maana vijana wenzako wanadharirika uku hatujui wanataka nini siasa, mziki au filamu maana Kote wapo alafu hawafit njaa mbaya basi tu
Stev Nyerere ni ccm.
Roho mbaya in nature.
Usikute ni kachawi
Your humble opinion!Tuseme ukweli tu. Artists wengi wa TZ hasa bongo movie na music elimu yao ndogo sana. Walitambue ombwe hilo walilizibe kwa kwenda shule!
Tazama Nigeria, south africa, Kenya na kwingineko wana vyeti...madigrii na madiploma ..
Hawa wa Tz ni longolongo tu na kujishebedua.
HehehehehehehehAcheni kumfananisha Omondi na vitu vya kijinga
Ni wajinga sanaNimeona post ya mke mdogo wa kiba kule instagram ana mponda Omond kwa kuigiza katundikwa kwenye cross nimeshangaa sana yule mjita/mjaluo sijui dada princes Bless amekurupuka na kuanza kuponda bila hata kujua ABC za picha ya Omondi kuwa kwenye Cross.hawa wake za Kiba wana muangusha sana asee wakurupukaji.mbona Kidoti hanaga haya mambo.!!
Steve kaboa sana..amemdhihaki omondi kwenye interview....Punguzeni ukali Wa Maneno jamani.Kuweni wazalendo,unamsifia Mke Wa jirani yako kwamba ana chura Wa ukweli mbele ya mkeo?