Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu hii ni mpya tu baada ya yule jamaa kuropoka
hivi karibuni niliona uzi hapa kuhusu msaniii mmoja wa bongo movie akituponda watanzania tunaom suppport Omondi
Hivi anapata wapi nguvu hiyo ? Omondi ni mtu wa anga zingine jamani ...
Haya mambo huyo steve hawezi yafanya
Nani kasema hayo?Offcourse kaharibu, halafu nyimbo kama hizo anaimba sauti ya 1.75 by the way haichekeshi....
nakushauri tu omondi sijui, hebu nenda kaangalie video za zekomedi original, waangalie wenzenu walivyo wabunifu.
sasa wewe sijui ubunifu wako kwenye hiyo nyimbo na mahali ulipochukulia na nguo nyeupe zilizovaliwa na watu wengi....
kwa kumalizia...UMEHARIBU WIMBO
Hahaaa limezuka jipyaMtu aliekataa ubini wake na kuanza kutumia ubini wa mtu mwingine anaanzaje kuwa na akili timamu?!
Mbona Eric Omondi akaujiita Eric Kenyatta?!
Fikiria Steve unampeleka Churchill show Nairobi! Pale hakuna majungu ni kuonesha kipaji. Gonga YouTube uangalie msanii kama Prof. Hamo achilia mbali Eric Omondi ndo ujue tofauti na huyu ngumbalu anayeponda akili kubwaYour humble opinion!
Sasa hujui Kidoti anamzidi akili Kiba?Nimeona post ya mke mdogo wa kiba kule instagram ana mponda Omond kwa kuigiza katundikwa kwenye cross nimeshangaa sana yule mjita/mjaluo sijui dada princes Bless amekurupuka na kuanza kuponda bila hata kujua ABC za picha ya Omondi kuwa kwenye Cross.hawa wake za Kiba wana muangusha sana asee wakurupukaji.mbona Kidoti hanaga haya mambo.!!