Kaka...nimecheki hapo kaigiza yupo msalabani utafikiri kweli.... Yule steve badala ya ku mingle na Omondi anamponda..khaOmondi ni kichwa kingine kile ....steve mpaka anakufa hatokaa amfikie jamaa kwa mafanikio kwenye comedy.... and tukubali tukatae Kenya wako vzr kwenye stand up comedy....huwa nafuatilia ile show ya Churchill wako vzr ijapokuwa kiswahili chao hakipo straight lkn still huwezi walinganisha na hizi mburula za kibongo
Siasa na Usanii bongo ni kama sumu na maziwaKati ya mtu ambaye ameua soko la bongo movie ni Steve, Jamaa alipopewa uenyekiti tu wa bongo movie alianza kuwalazimisha wenzeka kujiunga na CCM. Hili jambo lisababisha watu kuwachukia wasanii na kazi zao kabisa. Kenyewe hakuna kanachofanya tz halafu kanawaponda wenzie wanaopiga kazi na zinaonekana. Hovyo kabisa
Kumbuka Erick Omondi ni msomi wa Chuo kikuu na kale kabwana gumbalu. Sasa hapo mizani inakuwajeOmondi ni kichwa kingine kile ....steve mpaka anakufa hatokaa amfikie jamaa kwa mafanikio kwenye comedy.... and tukubali tukatae Kenya wako vzr kwenye stand up comedy....huwa nafuatilia ile show ya Churchill wako vzr ijapokuwa kiswahili chao hakipo straight lkn still huwezi walinganisha na hizi mburula za kibongo