Erick Omondi afanya REFIX ya KULIKO JANA.. acha yule mbongo aendeleze majungu


Huu ni ukweli wa hali y juu sana. Kuwahi tokea hapa JF.
 
Mtu aliekataa ubini wake na kuanza kutumia ubini wa mtu mwingine anaanzaje kuwa na akili timamu?!

Mbona Eric Omondi akaujiita Eric Kenyatta?!
 
Steve anaweza akawa msanii mzuri ila sio kwa kumlinganisha na Eric.....
Hii sio issue ya uzalendo wala itikadi za kisiasa ni issue ya utofauti ya uwezo wa wasanii wawili ambao ubora wa kazi zao ni tofauti na zenye kiwango tofauti.
Mara ya kwanza nilipoangalia kazi za Eric nilivutiwa bila kujali kuwa ni Mkenya au vinginevyo.
Anayejua huwa hajifichi kwenye uzalendo bali anatumia ubora wa kazi zake.
 
Mtu aliekataa ubini wake na kuanza kutumia ubini wa mtu mwingine anaanzaje kuwa na akili timamu?!

Mbona Eric Omondi akaujiita Eric Kenyatta?!
Eric Kenyatta....
 
yule stive anatafuta kiki tu sijawahi ona hata anachokifanya kwanza show zake ni za mualiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…