Erick Omondi afanya REFIX ya KULIKO JANA.. acha yule mbongo aendeleze majungu

Offcourse kaharibu, halafu nyimbo kama hizo anaimba sauti ya 1.75 by the way haichekeshi....

nakushauri tu omondi sijui, hebu nenda kaangalie video za zekomedi original, waangalie wenzenu walivyo wabunifu.

sasa wewe sijui ubunifu wako kwenye hiyo nyimbo na mahali ulipochukulia na nguo nyeupe zilizovaliwa na watu wengi....

kwa kumalizia...UMEHARIBU WIMBO
 
Nani kasema hayo?
 
watu wanachukia ccm halafu ikija mwaka wa uchaguzi wanachagua ccm
 
Steve kifupi, hovyo kuanzia kichwani hadi mwilini.. kadumaa kotekote..!!
 
Your humble opinion!
Fikiria Steve unampeleka Churchill show Nairobi! Pale hakuna majungu ni kuonesha kipaji. Gonga YouTube uangalie msanii kama Prof. Hamo achilia mbali Eric Omondi ndo ujue tofauti na huyu ngumbalu anayeponda akili kubwa
 
Sasa hujui Kidoti anamzidi akili Kiba?
 
Fikiria Steve unampeleka Churchill show Nairobi! Pale hakuna majungu ni kuonesha kipaji. Gonga YouTube uangalie msanii kama Prof. Hamo achilia mbali Eric Omondi ndo ujue tofauti na huyu ngumbalu anayeponda akili kubwa
[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…