Erick Omondi Trolls Tanzanian Currency .

that's too bad for him.
mara kadhaa huwa anavuka boda kuja tz kufanya stand up comedy zake na mwisho wa siku huwa analipwa kwa currency ya kitanzania ambayo leo ameifanyia dhihaka kwenye kurasa zake za social media.

namuonea huruma cos mpaka hapo tayari ameshaingia kwenye kumi na nane ya authority ya tz. ni suala la mda tu atajisahau halafu atakumbushwa.
 
Hehehe!! Pesa madafuuuu...
 
hata leo yupo tz.
 

Mnaishi maisha magumu sana, full minuno hata kwa comedy....
 
Chill mkuu,punguza stress ni utani tu,hio ndo comedy usitake kila k2 serious.
Btw we umejuaje analipwa na tshs
 
eric omondi kakosea, vitu kama hivyo aachie vifanywe na watu wenye profile ndogo kwenye jamii. sio vya kufanywa na mtu kama yeye.
unajuaje??? kama katumwa kama ilivyo kwa jaguar.
 
Kweli hamjui mtu kwao pambania chakwenu ata kama upo ugenini mazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…