Erick Omondi Trolls Tanzanian Currency .

Ahhahaha youtube wasanii wenu kufikisha views milioni moja inawachukua mwaka [emoji23][emoji23][emoji23]alafu unajisifia mmetwanga,
Ukiwa mmoja Kati ya hao millioni moja...asabti kwa kuchangia views.

Wewe unaelewa #KOT Kenyans on Twitter? Hebu angalia Kenyans vs Tanzagizans on Twitter uone vile wenzako walikunja mikia na kupotea wasionekane Tena. 😪😪
 
Ukiwa mmoja Kati ya hao millioni moja...asabti kwa kuchangia views.

Wewe unaelewa #KOT Kenyans on Twitter? Hebu angalia Kenyans vs Tanzagizans on Twitter uone vile wenzako walikunja mikia na kupotea wasionekane Tena. [emoji25][emoji25]
Sisi tunawatandika Facebook, youtube, instagram nk
 
Mnaishi maisha magumu sana, full minuno hata kwa comedy....

Huwezi fanyie comedy currency mzee, ni sawa na mtu afanye dhihaka ile bendera yenu ya Taifa.
Na mbwembwe zote hizi halafu mfungwe mtahama humu aisee[emoji2][emoji2]
 
People need to take a chill pill...Its not that serious...Its art...Stop being too sensitive like kids...I thought we were all grown...I am the type of guy who will buy a beer for a guy who has differing views from me...I have learnt a lot from life that way...People, its okay to argue constructively...Trading insults and general meanness NEVER EVER solves any problems....


(Doesn't this Eric guy make fun of Kenyans, Ugandans and other Africans too?)...chill guys...overreacting shows weakness...

Watch Saturday Night Live...
 
Huwezi fanyie comedy currency mzee, ni sawa na mtu afanye dhihaka ile bendera yenu ya Taifa.
Na mbwembwe zote hizi halafu mfungwe mtahama humu aisee[emoji2][emoji2]

Huyu huyu Eric ameigiza kama Magufuli akiwa huko Mwanza, hivi unajua Tanzania ipo ndani ya mataifa kumi ambayo wananchi wake wanaishi kwa dhiki kuu...mpo level moja na Syria. Yaani kila kitu lazima mnune hata vichekesho vya mtaani.
Taifa stars ikishindwa nyie ndio mtakua na aibu kubwa maana hata mumeshindwa kushabikia timu yenu kwa pamoja, tayari mumegawana matabaka, wa Makonda na wengine wa Ndugai...hapo bado hujahesabu wa upinzani.... mna matatizo makubwa, ni ile hamtaki kuambiwa.
 
Hehehe mtalialia sana na hayo madafu yenu, tena Eric yuko huko huko anaendelea kuchekesha wale hawajavurugwa na maisha...
Binafsi sina uwezo wa kumchukulia hatua. Nilikuwa naweka mambo sawa huenda utaratibu wa Kenya na Tanzania ni tofauti. Pia jinsi unavyompa sapot likitokea la kutokea usisite kumsaidia badala ya kubaki nyuma ya baobonye ukijificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…