mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Ukiwa mmoja Kati ya hao millioni moja...asabti kwa kuchangia views.Ahhahaha youtube wasanii wenu kufikisha views milioni moja inawachukua mwaka [emoji23][emoji23][emoji23]alafu unajisifia mmetwanga,
Wewe unaelewa #KOT Kenyans on Twitter? Hebu angalia Kenyans vs Tanzagizans on Twitter uone vile wenzako walikunja mikia na kupotea wasionekane Tena. 😪😪