Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Na yule Shamte ni janja janja dalali la mjini. Ngoja lije liibe hati ya nyumba ya madale lisepe.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Yani jamaa anaonyesha wazi wazi kuwa yupo kwenye mahusiano kwaajili ya mali tu ila sio kwa mapenzi, kamfanya mama dangote kawa chizi, mapenzi yao yanawaendesha mputa mputa kama watoto
 
Naamini esma hakumtaka msizwa !alichohitaji Ni kuolewa tu (na amgeolewa na bwege yeyote yule ambaye angeingia kingi hata akiwa mwehu). I'll atimize sheria ya dini,ilimpasa kupolewa na kuachwa ili arudi kwa baba Ajiii. Alipanga vizuri tu.
 
Vifuko vya wa Paki,
TV za wizi dukani,
Kaka Jambazi.
 
Tujitahidi kusomesha watoto wa kike,huyu dada ni bogus kuna vitu anaongea anaonekana hajui hata madhara yake,alisema ametoa mimba ila baada ya kuambiwa unajua unaweza kufungwa?ameita interview nyingine alafu anatoa boko lingine la biashara ya mumewe,yaani huyu Mmasai anamtumia vijana wa kumhoji dk 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…