Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Na yule Shamte ni janja janja dalali la mjini. Ngoja lije liibe hati ya nyumba ya madale lisepe.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Yani jamaa anaonyesha wazi wazi kuwa yupo kwenye mahusiano kwaajili ya mali tu ila sio kwa mapenzi, kamfanya mama dangote kawa chizi, mapenzi yao yanawaendesha mputa mputa kama watoto
 
Naamini esma hakumtaka msizwa !alichohitaji Ni kuolewa tu (na amgeolewa na bwege yeyote yule ambaye angeingia kingi hata akiwa mwehu). I'll atimize sheria ya dini,ilimpasa kupolewa na kuachwa ili arudi kwa baba Ajiii. Alipanga vizuri tu.
 
Huyu dem kafunguka vitu vingi na inaelekea ameshamjua jamaa vizuri hadi mitkas zake
Kwwnye interview hapo ukimsikia anakuambia jamaa kama alikuwa anataka muingiza kwenye mitkas ambazo siyo ambazo zinaweza muaribia maisha!
Kingine ukimsikia hapo kwenye mahojiano anakuambia jamaa hana hela ila ana fake maisha kwanza ana madeni mengi anadaiwa mabegi aliyochkua kwa wpk???
Wajanja hapo tushaunga dots tushapata code!

Ova
Vifuko vya wa Paki,
TV za wizi dukani,
Kaka Jambazi.
 
Tujitahidi kusomesha watoto wa kike,huyu dada ni bogus kuna vitu anaongea anaonekana hajui hata madhara yake,alisema ametoa mimba ila baada ya kuambiwa unajua unaweza kufungwa?ameita interview nyingine alafu anatoa boko lingine la biashara ya mumewe,yaani huyu Mmasai anamtumia vijana wa kumhoji dk 0
 
Back
Top Bottom