Uncle msanii na msima ramani, ukute uncle ndo alimsomea ramani msizwa wapige hiyo 200m ya mind[emoji3][emoji3]Speed ya Msizwa ilikua kubwa sana, uncle Shamte anajua kula mdogo mdogo. Sasa yeye hata miezi sita ya ndoa haijafika anataka Diamond awe ana perform Msizwa Lounge.
Anatumia brand ya family kujipandisha dau.Huyu mdada anajisahau anafikiri anaweza kupendewa na Kijana kizembekixembe. Usichana wake was over ana watoto kadhaa sasa watu wanakwenda kimaslahi
Aingie mara mbili, zile pesa zilizomwagwa na magari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chibu kidogo aingie Cha kike
unamaanisha vi-podaz na viheroin ah ahOhoooo,basi kajipambanua kibiashara hadi Pakistani ndio huko anakochukua mzigo wa vipodozi na vitenge?
Ndio akome Nani kamtuma afanye shughuli hizo?Shit kama zipi?
Hivi unajuwa kama kuna siri zingine unaogopa hata kuzitoa?
Hata mtu akufanyie nn..
Mwanamke mwenye utimamu wa akili asingeongea mambo ya madawa ya kulevya kwa mumewe
Huyo msizwa kama muuza madawa labda punda.Hakika kabisa mkuu,,
Huyo mwanamme watu wote wa south wanajuwa shughuli zake,,
Na watu walishangaa sn pesa za watu za biashara akaziingiza kwenye mambo yake binafsi..
Mfano narusi na kufunguwa cafe.
Lakini watu mikausho tu..
Lakini yeye asma kuvuliwa dera na kulazwa miguu juu siku mbili na kuachwa anabwabwaja hovyo mambo ya siri za family,, haoni kama itamletea mwenzie matatizo?
Shida ni kwamba MSIZWA pia anaongea huko kwenye Ma-intavyuu, sasa katika hali hiyo kukaa kimya inamaanisha ni kuthibitisha/kukubaliana na anayoyasema, Mimi nadhani alichofanya ESMA ni sahihi dawa na MSANII ni kuwa Msanii zaidi yake.
Huyo jamaa alikosea sana kujiingiza kwa hao wauza sura wataka umaarufu wakati jamaa anajua deals zake ni za 4...Hakika kabisa mkuu,,
Huyo mwanamme watu wote wa south wanajuwa shughuli zake,,
Na watu walishangaa sn pesa za watu za biashara akaziingiza kwenye mambo yake binafsi..
Mfano narusi na kufunguwa cafe.
Lakini watu mikausho tu..
Lakini yeye asma kuvuliwa dera na kulazwa miguu juu siku mbili na kuachwa anabwabwaja hovyo mambo ya siri za family,, haoni kama itamletea mwenzie matatizo?
Ahahahahah mkuu.........kubali ukweli tu. Mliwaji ndo looser side siku zooteHivi hilo tendo kwani kwa mwanamke linakuaga ni udhalilishaji au ni starehe kama ilivyo kwa mwanaume😎😎😎
Maana hiyo comment ni kama vile ni kitu cha kumdhalilisha esma
Ahahahahah mkuu.........kubali ukweli tu. Mliwaji ndo looser side siku zoote
Taratibu basi na wewe mkuu.....hvi ulishawahi kujiuliza kwa nn wanaume wote duniani wanachukia sana na kurusha ngumi pindi ikitokea mwanaume iwe kwa utani au kumaanisha akiitwa mwanamke .............Acha fikra potofu wewe, kwenye hilo tendo hakuna looser wote mnaenjoy uumbaji wa Mungu. Vyote ni vifanyio na hakuna kinachoweza kujitosheleza nikiwa chenyewe.
Hicho ulichokiandika hapo ni moja ya sababu zinazodhoofisha mahusiano mengi kwa wenye kuamini kwamba hilo tendo ni faida ya mwanaume na hasara pamoja na aibu ya mwanamke.
Wanaume kama wewe ndio mnashindwa kuwapenda na kuwapa wake zenu amani, kujiamini, furaha ya maumbile yao na na kufurahiana performance alafu mnakuja kulialia baadae kwamba mnaibiwa.
Sky Eclat YAAAN SHAMTE AKIKESHA BAR KINA LUKAMBA WANAMSCORE.MAMA DANGOTE.inawezekana Ile story ya kusema ommy d alimlaza rula Bibi tiffah Zina ukweli..Bibi Ana pepoMmh, uncle sikunyingine anarudi saa tano asubuhi, mama stress anazimaliza kwa wafanyakazi wa Diamond. Mapaa yanaficha siri.
Maongezi yetu hayakua kurusha ngumi yalikua kufurahiana😂😂😂😂Taratibu basi na wewe mkuu.....hvi ulishawahi kujiuliza kwa nn wanaume wote duniani wanachukia sana na kurusha ngumi pindi ikitokea mwanaume iwe kwa utani au kumaanisha akiitwa mwanamke .............
Ndo hapo sasa utambue finding yourself in a feminine side is a disadvantage, hebu just imagine kiumbe kingine kinakuweka mkao mara wa dog style, mara ugeuzwe mbuzi kagoma kwenda mara kifo cha Mende, mara miguu akufunge darini,........Maongezi yetu hayakua kurusha ngumi yalikua kufurahiana😂😂😂😂
Haya mwanaume mwenzio mzee Abdul keshaambiwa diamond sio mwanae, wewe kulia kumfanya tuu bila upendo🤣🤣🤣
Tatizo wanawake ukiwa mkweli hawakutaki sasa lazima uwe muongo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova