Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Huyu mdada anajisahau anafikiri anaweza kupendewa na Kijana kizembekixembe. Usichana wake was over ana watoto kadhaa sasa watu wanakwenda kimaslahi
Anatumia brand ya family kujipandisha dau.
 
Halafu naona kama kimtindo msizwa anatoka na Nai aka mnyama mkali aka chogo, juzi walikua live insta
 
Shit kama zipi?

Hivi unajuwa kama kuna siri zingine unaogopa hata kuzitoa?
Hata mtu akufanyie nn..

Mwanamke mwenye utimamu wa akili asingeongea mambo ya madawa ya kulevya kwa mumewe
Ndio akome Nani kamtuma afanye shughuli hizo?
Yule sio mumewe tena..angekuwa mume angelifunga bakuli lake sio kumdhalilisha mkewe kwenye media...
 
Hakika kabisa mkuu,,

Huyo mwanamme watu wote wa south wanajuwa shughuli zake,,
Na watu walishangaa sn pesa za watu za biashara akaziingiza kwenye mambo yake binafsi..
Mfano narusi na kufunguwa cafe.

Lakini watu mikausho tu..

Lakini yeye asma kuvuliwa dera na kulazwa miguu juu siku mbili na kuachwa anabwabwaja hovyo mambo ya siri za family,, haoni kama itamletea mwenzie matatizo?
Huyo msizwa kama muuza madawa labda punda.

Muuza madawa gani anatafuta attention kiasi hicho. Kwanza wauza madawa serious wana mitandao hatari, ukimtaja tu hata miezi 2 humalizi.

Yaani uropoke fulani muuza madawa halafu uendelee tu kusurvive. Wauza madawa hawana Mungu wale, hata wao kwa wao wakati wa mauziano wanadhulumiana na kuuana.
 
Shida ni kwamba MSIZWA pia anaongea huko kwenye Ma-intavyuu, sasa katika hali hiyo kukaa kimya inamaanisha ni kuthibitisha/kukubaliana na anayoyasema, Mimi nadhani alichofanya ESMA ni sahihi dawa na MSANII ni kuwa Msanii zaidi yake.

Esma kichwa boga sana huyo han akili hata nukta ana akili ya kubadilisha ped tuu asichafuke
 
Hakika kabisa mkuu,,

Huyo mwanamme watu wote wa south wanajuwa shughuli zake,,
Na watu walishangaa sn pesa za watu za biashara akaziingiza kwenye mambo yake binafsi..
Mfano narusi na kufunguwa cafe.

Lakini watu mikausho tu..

Lakini yeye asma kuvuliwa dera na kulazwa miguu juu siku mbili na kuachwa anabwabwaja hovyo mambo ya siri za family,, haoni kama itamletea mwenzie matatizo?
Huyo jamaa alikosea sana kujiingiza kwa hao wauza sura wataka umaarufu wakati jamaa anajua deals zake ni za 4...
Mwanamke mke mwenyewe ona anavyongea anaweka mipango ya jamaa yote wazi
Ona mke wa chapo mpk leo hajawahi zungumza masuala ya biashara ya mme wake
Tatizo hako kadada ni kashamba utandale bado wanao

Ova
 
Ahahahahah mkuu.........kubali ukweli tu. Mliwaji ndo looser side siku zoote

Acha fikra potofu wewe, kwenye hilo tendo hakuna looser wote mnaenjoy uumbaji wa Mungu. Vyote ni vifanyio na hakuna kinachoweza kujitosheleza nikiwa chenyewe. Hakuna mlaji na mliwaji hapo ndugu.....

kwanza hebu kaa utafakari maumbile halafu uje uniambie kama ikichukuliwa kwa ni issue ya kula na kuliwa ni umbile lipi pale huwa linamla mwenzie🙄

Hicho ulichokiandika hapo ni moja ya sababu zinazodhoofisha mahusiano mengi kwa wenye kuamini kwamba hilo tendo ni faida ya mwanaume na hasara pamoja na aibu ya mwanamke.

Wanaume kama wewe ndio mnashindwa kuwapenda na kuwapa wake zenu amani, kujiamini, furaha ya maumbile yao na na kufurahiana performance alafu mnakuja kulialia baadae kwamba mnaibiwa.
 
Acha fikra potofu wewe, kwenye hilo tendo hakuna looser wote mnaenjoy uumbaji wa Mungu. Vyote ni vifanyio na hakuna kinachoweza kujitosheleza nikiwa chenyewe.

Hicho ulichokiandika hapo ni moja ya sababu zinazodhoofisha mahusiano mengi kwa wenye kuamini kwamba hilo tendo ni faida ya mwanaume na hasara pamoja na aibu ya mwanamke.

Wanaume kama wewe ndio mnashindwa kuwapenda na kuwapa wake zenu amani, kujiamini, furaha ya maumbile yao na na kufurahiana performance alafu mnakuja kulialia baadae kwamba mnaibiwa.
Taratibu basi na wewe mkuu.....hvi ulishawahi kujiuliza kwa nn wanaume wote duniani wanachukia sana na kurusha ngumi pindi ikitokea mwanaume iwe kwa utani au kumaanisha akiitwa mwanamke .............
 
Mmh, uncle sikunyingine anarudi saa tano asubuhi, mama stress anazimaliza kwa wafanyakazi wa Diamond. Mapaa yanaficha siri.
Sky Eclat YAAAN SHAMTE AKIKESHA BAR KINA LUKAMBA WANAMSCORE.MAMA DANGOTE.inawezekana Ile story ya kusema ommy d alimlaza rula Bibi tiffah Zina ukweli..Bibi Ana pepo
 
Taratibu basi na wewe mkuu.....hvi ulishawahi kujiuliza kwa nn wanaume wote duniani wanachukia sana na kurusha ngumi pindi ikitokea mwanaume iwe kwa utani au kumaanisha akiitwa mwanamke .............
Maongezi yetu hayakua kurusha ngumi yalikua kufurahiana😂😂😂😂

Haya mwanaume mwenzio mzee Abdul keshaambiwa diamond sio mwanae, wewe kulia kumfanya tuu bila upendo🤣🤣🤣
 
Maongezi yetu hayakua kurusha ngumi yalikua kufurahiana😂😂😂😂

Haya mwanaume mwenzio mzee Abdul keshaambiwa diamond sio mwanae, wewe kulia kumfanya tuu bila upendo🤣🤣🤣
Ndo hapo sasa utambue finding yourself in a feminine side is a disadvantage, hebu just imagine kiumbe kingine kinakuweka mkao mara wa dog style, mara ugeuzwe mbuzi kagoma kwenda mara kifo cha Mende, mara miguu akufunge darini,........

Huyo mzee mwenzangu Abdul wala asihangaike kuumia kwa sababu hiyo ni kawaida si wanaume huwa tunaambiwa na kuaminishwa Huyu ni mwanao tu basi na sisi huwa tunakubali na kuanza majukumu ya malezi simply ni kweli huyo mwanamke ulifanya naye mapenzi na ukananiliu ndani........hata wewe usishangae bi mkubwa anakwambia baba yako ni flani, pengine Baba D ,huyo D si mwanae .
 
Back
Top Bottom