PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Nimekupata.Ni biashara ya mume inatoka Pakistan kutokana na maelezo ya Esma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata.Ni biashara ya mume inatoka Pakistan kutokana na maelezo ya Esma.
Vifuko au kuna watu wamewaweka bond?Esma anasema wanadaiwa vifuko huko Pakistan havijalipiwa.
Maisha yote ni full usanii, TV zinazouzwa dukani ni za wizi kutoka Afrika Kusini.Vifuko au kuna watu wamewaweka bond?
Alafu siku hizi habari za kuwekana bond hazipo.
Mama yake kamshika uncle, uncle hafurukuti paleKarma
Bado mama yake
Maisha yote ni full usanii, TV zinazouzwa dukani ni za wizi kutoka Afrika Kusini.
Ninamshauri Esma baada ya hii interview asiongelee tena hili swala.
Esma ame Eleza kwa kirefu jinsi alivyokutanavna aliyekuwa mume wake Msizwa, ndoa ilivyokua, maisha ya ndoa na mipango yake ya baadae.
Esma amekanusha kuwa hakutoa ujauzito wa Msizwa bali alikua wana matatizo ya kutoka Mwana damu, tatizo lililopelekea yeye kulazwa hospitali.
Siku ya harusi mama aliyetambulishwa hakuwa mama yake mzazi Msizwa. Mama wa Msizwa Esma alikuja kumjua baadae akiwa kwenye ndoa.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Aisehhhh anachofanya Diamond kwa wanawake inamrudia kwa familia yakeMmh, uncle sikunyingine anarudi saa tano asubuhi, mama stress anazimaliza kwa wafanyakazi wa Diamond. Mapaa yanaficha siri.
Baba yake anaitwa Platinum au ndo Yale yale ya kutembelea kwenye nyota ya buradha??Wanawake, ukikutana na mwanaume anae mdharau mke wake kwa kumshusha thamani, hiyo ni dalili kuwa hata wewe atakudharau.
Esma interview zake zote hajui kujieleza na anaonesha ni mtu wa majivuno na jeuri.Ningekuwa esma ningenyamazaaa kimyaa kaongea utopolooo tupuu
Liwe bure lakini ...isiwe na ww ni km kina msizwa. .unatumia upenyo kutengeneza fursa...Ndoa ni taasisi, na jnataka watu wanaojielewa kuingia kwenye ndoa na sio utoto utoto, nitakuja siku moja nitoe semina ya ndoa humu, wengi mtanufaika na darasa hilo,