Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Maisha yote ni full usanii, TV zinazouzwa dukani ni za wizi kutoka Afrika Kusini.

Ninamshauri Esma baada ya hii interview asiongelee tena hili swala.

Wanawake tatizo mnapenda sana hela,sometimes hamuangalii wala kuchunguza mtu ana kazi gani.

Huyu inabidi apumzike/ajipe likizo ya mapenzi yule wa kwanza alikuwa chawa,kuwadi na mpenda vitonga,huyu mwingine muongo ,mjanja wa mjini.
 
Esma ame Eleza kwa kirefu jinsi alivyokutanavna aliyekuwa mume wake Msizwa, ndoa ilivyokua, maisha ya ndoa na mipango yake ya baadae.

Esma amekanusha kuwa hakutoa ujauzito wa Msizwa bali alikua wana matatizo ya kutoka Mwana damu, tatizo lililopelekea yeye kulazwa hospitali.

Siku ya harusi mama aliyetambulishwa hakuwa mama yake mzazi Msizwa. Mama wa Msizwa Esma alikuja kumjua baadae akiwa kwenye ndoa.


Kunguru hafugikagi
 
Back
Top Bottom