Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Huyo msizwa naye mshamba sana mtu wa mitkasi na makamera wapi na wapi?
Alijisemeaga jamaa yangu mmoja dah hizi kazi sahv zimevamiwa especially ilipoingia mambo ya kwenda kuvua na watu kupata samaki wengi wao walikuwa wageni basi hizo vurugu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kwl kabisa,,

Nakumbuka miaka ya 90 madawa hapo humu,,
Hata police hawayajuwi..

Tena watu wanashuka hapo hapo airport minazi mirefu,,
Na hakuna anayejuwa chochote,,

Wamevamia mashoga biashara hizi sasa hata wauza chips mitaani wanajuwa mipango yote..

Wanaona kujinadi muuza madawa ni sifa.

Mapimbi kabisa.nuksi tupu.
 
Na huyo mariooo ni proffesional kwenye fani hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kuna watu mjini michongo yao ni kuwa na wamama kuwalea kazi yao ni kupendeza tu
Ukiwaona kama wanafanya kazi benki kutwa wanangaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mkuu siku zote mwanaume mwenye pesa hategemei kupendwa kwa sababu ya kusimamia ukucha,
Pesa zake ndy zinafanya apendwe.

Ogopa sana mwanaume asiye na pesa,,aina ya uncle shamte..

Yeye msingi wake ni kiuno,,na vumbi la Congo..
Kila siku atafikiria style za kumpinda na kumsimamia baiskeli.
Mwanaume asiye na pesa ndy kazi yao kutafuta jinsi gani atamchanganya mwanamke kitandani.
Kwa maana zaidi ya mambo ya kitandani hana maajabu yeyote.
 
Kweli ile ni time bomb iko siku italipuka[emoji23][emoji23]
Kuna jamaa mmoja mtoto wa tbt namjua vzr sana yy ni mariooo walikuwa team moja naye
Ila mwenzake mjomba ndy kapata sasa[emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kweli ile ni time bomb iko siku italipuka[emoji23][emoji23]
Kuna jamaa mmoja mtoto wa tbt namjua vzr sana yy ni mariooo walikuwa team moja naye
Ila mwenzake mjomba ndy kapata sasa[emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Duu!! Aisee!! nasikia kazi yake ni kusafisha bunduki na mafuta ya nazi, muda wote gobole linang' aa..

Kama mzee mwindaji..anajiandaa kwenda mawindoni.

Kkkkkk..
 
Duu!! Aisee!! nasikia kazi yake ni kusafisha bunduki na mafuta ya nazi, muda wote gobole linang' aa..

Kama mzee mwindaji..anajiandaa kwenda mawindoni.

Kkkkkk..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alaf wamama kama wale muda wote anataka
Adhabu hiyo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
HAPA ndipo napomuaminigi MANGE KIMAMBI maana alisema siku ileile kuwa Jamaa Msizwa ni mtu wa Biashara za Pakistan lakini watu wakaona ni wivu tu.
Leo nimeamini Mange ni taasisi na sio mtu kama tunavyomuona.
Mange watu wanamchukulia poa sana.. ila mkono mrefu saaana.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Asa unamfurahishaje akat ham anakua hana na raha hapati
We nani kakuambia hapati raha[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee test mtongoze mama wa miska 50-60 uone
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Back
Top Bottom