Espionage: Majasusi wa Mossad walivyoiba mkojo wa Rais Hafez Al-Assad wa Syria kwa kutumia choo cha bandia

Una tatizo upstairs,wahi kwa wataalamu kabla hujaharibikiwa zaidi,naona unabwabwaja tu hovyo na kumwaga pumba tu hapa,nadhani hata wewe mwenyewe huelewi unachokiandika,halafu naona umekazania sana neno madrasa! Vipi mumeo anafundisha madrasa?

Huyo ni Mwalimu wa chuo/madrasat.
 
Hata Tanzania ni taifa la Mungu.

Jamaa_Mbishi,
Endelea na ubishi wako. Lakini hapo ulipo hujui kabisa maana ya TAIFA LA MUNGU. Surely you know nothing about ISRAEL na ndo maana unabwabwaja tu kama kasuku...Pole sana!!!
 
Una tatizo upstairs,wahi kwa wataalamu kabla hujaharibikiwa zaidi,naona unabwabwaja tu hovyo na kumwaga pumba tu hapa,nadhani hata wewe mwenyewe huelewi unachokiandika,halafu naona umekazania sana neno madrasa! Vipi mumeo anafundisha madrasa?
Elimu elimu elimu
 
Jamaa_Mbishi,
Endelea na ubishi wako. Lakini hapo ulipo hujui kabisa maana ya TAIFA LA MUNGU. Surely you know nothing about ISRAEL na ndo maana unabwabwaja tu kama kasuku...Pole sana!!!

Kila nchi duniani ni taifa la Mungu. Kwenye Biblia ndipo jamii inaaminishwa kuwa isreal ni taifa la Mungu ni kwa sababu Biblia imeandikwa kwa ajili ya kunufaisha wayahudi as the famous saying goes kuwa history is always written for the victor.
 
Hii hadithi source yake ni ipi mkuu. Au ni simulizi za Abunuasi?
 
Wamarekani ni kama wale wanawake wanaoning'iniza makalio dirishani wakati wakienda kwenye shughuli au sherehe Fulani za kiswahili.ni wenye midomo sana.
 
Hapa ulipoweka masuala ya imani ndio ulipoivuruga comment yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…