Espionage: Majasusi wa Mossad walivyoiba mkojo wa Rais Hafez Al-Assad wa Syria kwa kutumia choo cha bandia

Jamaa_Mbishi,
Endelea na ubishi wako. Lakini hapo ulipo hujui kabisa maana ya TAIFA LA MUNGU. Surely you know nothing about ISRAEL na ndo maana unabwabwaja tu kama kasuku...Pole sana!!!
Agano jipya limeshaclarify kwamba warithi wote wa baraka za Abraham ni waaminio wote..... Hivyo Israel ya sasa sio ''nchi'' bali ni WAAMINIO wote ikimaanisha MATAIFA YOTE YENYE WAAMINIO NI TAIFA LA MUNGU kasome waebrania.

Kingine Israel ya miaka yote huwa wanarudishwa na nabii kwenye nchi yao ya ahadi sasa naomba unisaidie je ni nabii gani ambaye aliwarudisha hawa Ashkenazi huko Israel hii ya sasa???

Kingine Israel ya sasa imefika hapo ilipo kwa msaada wa marekani ukitaka kujua hilo jiulize kivipi wayahudi kabla ya kusaidiwa na wamarekani 1945+ kivipi waliuawa kama wanavyodai Million 6?? na maana kipindi wanauawa hawakuwa taifa la Mungu?? Je marekani ambayo inaaminika inatumia mbinu zote chafu na kishetani kujilimbikizia utajiri leo hii likitumia kufadhili TAIFA LA MUNGU je ni sawa?? Kweli Taifa la Mungu afadhiliwe na nchi inayosupport ushoga,uFreemason na uvamizi wa nchi za watu??

Duh ni vizuri tusiwe na uharaka wa kusupoort mambo tusiyo na uhakika nayo
 
Waarabu wanaongoza kwa usaliti haswa wenyewe kwa wenyewe,,,
Yaweza kua kweli Waarabu ni wasaliti na yaweza pia kua sio kweli; ni hivi, wapo Waisrael wengi sana wenye asili ya Kiarabu na ndio hao ambao Wayahudi huwatumia kwenye shughuli zao, yasemekana Osama Bin Laden alikua ame rekruti Wayahudi wengi sana kwenye kundi lake la Al Qaida akidhani ni Waarabu wenzie kumbe ni Wayahudi, siku anataka kwenda kuipiga Pentagon na world trade center hao hao members wake ambao ni Wayahudi kwa maana ya damu, wakalikisha information kwa Mousad and hence Wayahudi wote waliokua wanafanya kazi kwenye lile jingo la kitega uchumi la WTC hakufa hata mmoja, so may be hao Waarabu wa Jordan tunao walaumu hapa kwamba sio wazalendo, huenda ndio hao hao Waarabu wenye asili ya Kiyahudi and so serikali ya Jordan inajua ni wenzao kumbe ni Wayahudi. Hata ile mission to kill Osama, Wayahudi wengi sana wenye asili hiyo ya kiarabu walihusika sana kwenye ardhi ya Pakistan na hatimae mission was completed. Je, wajua alilikisha information za Misri wakati ule kwenye ile vita ya 6 days of war hadi ndege zote za Misri kupigwa kwenye ardhi yake alikua nani!?
 
Mku sipo kwenye ubishi kwani si asili yangu.Nilicho andika nina uwakika nao...
 
MATENDO YA NCHI KUPITIA SERIKALI YAKE NI KIGEZO TOSHA CHA KUIPENDA AMA KUICHUKIA SO TUSILAZIMISHANE
 
Ni yale yale tu...na ndio maana wazee wanasema ukitaka kuoa rudi kijijini ulipozaliwa ..ukaoe wa kabila lako[emoji23]
 
Haya tumekusikia myahudi wa Tanzania
 
Taifa la...........?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…