Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Really? Seriously?Kupigwa risasi kwa Lissu mwananchi wa kawaida akumuhusu.labda kama mnahitaji kura za huruma ambazo amuwezi pata kamwe.
Nafatilia kampeni za mgombea wa CCM sijawai kusikia hoja za kibaguzi.
nachosikia mimi ni sera mwanzo mwisho.
Tokea lini Nyani akaona mkund* wake jomba?Kupigwa risasi kwa Lissu mwananchi wa kawaida akumuhusu.labda kama mnahitaji kura za huruma ambazo amuwezi pata kamwe.
Nafatilia kampeni za mgombea wa CCM sijawai kusikia hoja za kibaguzi.
nachosikia mimi ni sera mwanzo mwisho.
View attachment 1561814View attachment 1561815View attachment 1561816
View attachment 1561883View attachment 1561884
Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
Na ifanyike nchi nzima wabaguzi warudi kwao,maendeleo hayana chama kwenye kukusanya Kodi tu Yana chama kwenye maendeleoView attachment 1561814View attachment 1561815View attachment 1561816
View attachment 1561883View attachment 1561884
Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
Really? Seriously? View attachment 1562133
View attachment 1561814View attachment 1561815View attachment 1561816
View attachment 1561883View attachment 1561884
Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
"Maendeleo unapeleka mahala ambapo unapata support"very truethful.Really? Seriously? View attachment 1562133
😆😆 hii nchi ina mkosi sana !Really? Seriously? View attachment 1562133
Basi na kodi wasikusanye huko"Maendeleo unapeleka mahala ambapo unapata support"very truethful.
Rais akiingia bungeni wao wanatoka,sasa unawapelekeaje maendeleo kwenye majimbo yao wabunge wa namna hii,unapelekaje maendeleo kwa mbunge anaekutukana,unapelekaje maendeleo kwa mbunge anaesusia vikao vya kupanga bajet ya nchi bungeni?.
JPM huwa apindishi maneno,amenyooka kama rula.
maendeleo yake apeleke chato,hatutaki maendeleo ya kutishiwaView attachment 1561814View attachment 1561815View attachment 1561816
View attachment 1561883View attachment 1561884
Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
Ukweli mchungu ila lazima tuuseme tu, Esther Bulaya safari hii Bunda haambulii kitu.Kiufupi atagaragazwa vibaya mno na Maboto,mwaka 2015 Wassira alikuwa amechokwa vibaya mno Bunda ndio maana Bulaya alishinda Ila siyo kwa ushindi mkubwa sana.Safari hii Bulaya lazima akae kwa Maboto.
Hapa Watoto shule hazikufungwa kweli?? Haiwezekani bwana!View attachment 1561814View attachment 1561815View attachment 1561816
View attachment 1561883View attachment 1561884
Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
Very good conclusionPamoja na wingi wa hawa watu, wapo ambao wamekuja kusikiliza wanamuziki pamoja na wachekeshaji.
Pia ukiangalia nguvu kubwa aliyo nayo mgmbe wa ccm akiwa kama rais wa nchi, na chama chake kuwa chama cha muda mrefu kuliko vyote nchini, kufanya kwake kampeni kwa miaka mitano wakati vyama vingine vikizuiliwa, ulinganisha huo umati wa watu, basi mimi naona CDM wanapendwa sana kuliko ccm.
Ukiangalai kwa makini hizo picha,wananchi wanaonekana kabisa wanashangaa,hawaelewi kinachoongelewa kwenye jukwaa hakiusiani na maisha yao ya kawaida.
Kama wanavyowashangaa akina Did Q kwenye matamasha ya Meko Fiesta.Ukiangalai kwa makini hizo picha,wananchi wanaonekana kabisa wanashangaa,hawaelewi kinachoongelewa kwenye jukwaa hakiusiani na maisha yao ya kawaida.
Hoja au vitisho?Tuwekee video tusikie kajibuje hoja za JPM
Baba wa watu alisema "Mzee mkapa ulimpa 10, Mwinyi mlimpa 10 na Kikwete mlimpa 10 na mimi msinipe 5 nipeni 10 na mimi" hapo ndipo utaelewa baba wa watu anajua kuna giza mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app