Uchaguzi 2020 Ester Bulaya aiua CCM Bunda kifo cha kikatili mno. Uzinduzi wa kampeni wadhihirisha

Kupigwa risasi kwa Lissu mwananchi wa kawaida akumuhusu.labda kama mnahitaji kura za huruma ambazo amuwezi pata kamwe.
Nafatilia kampeni za mgombea wa CCM sijawai kusikia hoja za kibaguzi.
nachosikia mimi ni sera mwanzo mwisho.
Really? Seriously?
FB_IMG_1599482575352.jpg
 
Kupigwa risasi kwa Lissu mwananchi wa kawaida akumuhusu.labda kama mnahitaji kura za huruma ambazo amuwezi pata kamwe.
Nafatilia kampeni za mgombea wa CCM sijawai kusikia hoja za kibaguzi.
nachosikia mimi ni sera mwanzo mwisho.
Tokea lini Nyani akaona mkund* wake jomba?
 
Ukweli mchungu ila lazima tuuseme tu, Esther Bulaya safari hii Bunda haambulii kitu.Kiufupi atagaragazwa vibaya mno na Maboto,mwaka 2015 Wassira alikuwa amechokwa vibaya mno Bunda ndio maana Bulaya alishinda Ila siyo kwa ushindi mkubwa sana.Safari hii Bulaya lazima akae kwa Maboto.
 
"Maendeleo unapeleka mahala ambapo unapata support"very truethful.
Rais akiingia bungeni wao wanatoka,sasa unawapelekeaje maendeleo kwenye majimbo yao wabunge wa namna hii,unapelekaje maendeleo kwa mbunge anaekutukana,unapelekaje maendeleo kwa mbunge anaesusia vikao vya kupanga bajet ya nchi bungeni?.

JPM huwa apindishi maneno,amenyooka kama rula.
 
Basi na kodi wasikusanye huko
 
Wewe upo bunda au unaongea tu, tuulize sisi tunaokaa bunda uyo Maboto hata kuongea hajui bora mgemleta yule jamaa wa mwanza huduma lkn uyu Maboto anagaragazwa kabla ya misa ya kwanza
Ukweli mchungu ila lazima tuuseme tu, Esther Bulaya safari hii Bunda haambulii kitu.Kiufupi atagaragazwa vibaya mno na Maboto,mwaka 2015 Wassira alikuwa amechokwa vibaya mno Bunda ndio maana Bulaya alishinda Ila siyo kwa ushindi mkubwa sana.Safari hii Bulaya lazima akae kwa Maboto.
 
Pamoja na wingi wa hawa watu, wapo ambao wamekuja kusikiliza wanamuziki pamoja na wachekeshaji.
Pia ukiangalia nguvu kubwa aliyo nayo mgombe wa ccm akiwa kama rais wa nchi, na chama chake kuwa chama cha muda mrefu kuliko vyote nchini, kufanya kwake kampeni kwa miaka mitano wakati vyama vingine vikizuiliwa, ulinganishe huo umati wa watu, basi mimi naona CDM wanapendwa sana kuliko ccm.
Unalinganisha mtu aliyeanza mbio kwa zaidi ya miaka mitano unamlinganisha na mtu ambaye ameanza mbio ndani ya siku kama kumi hivi, alafu wewe unalinganisha umbali walio fika.
 
Pamoja na wingi wa hawa watu, wapo ambao wamekuja kusikiliza wanamuziki pamoja na wachekeshaji.
Pia ukiangalia nguvu kubwa aliyo nayo mgmbe wa ccm akiwa kama rais wa nchi, na chama chake kuwa chama cha muda mrefu kuliko vyote nchini, kufanya kwake kampeni kwa miaka mitano wakati vyama vingine vikizuiliwa, ulinganisha huo umati wa watu, basi mimi naona CDM wanapendwa sana kuliko ccm.
Very good conclusion
 
Ukiangalai kwa makini hizo picha,wananchi wanaonekana kabisa wanashangaa,hawaelewi kinachoongelewa kwenye jukwaa hakiusiani na maisha yao ya kawaida.

Duh!! Uwezo wako ni wa ajabu sana. Hebu tuambiwe ni nini kilichosemwa!
 
Ukiangalai kwa makini hizo picha,wananchi wanaonekana kabisa wanashangaa,hawaelewi kinachoongelewa kwenye jukwaa hakiusiani na maisha yao ya kawaida.
Kama wanavyowashangaa akina Did Q kwenye matamasha ya Meko Fiesta.
 
Back
Top Bottom