Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kafail huyu kabisa, wajumbe ndo watamuangusha.Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.
Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.
Usiteseke mkuuWajumbe watakuwa wapuuzi kama watapitisha hawa covid waliotangaza nia kugombea ubunge kwenye majimbo. Yaani wana ccm mkipambanie chama chenu halafu aje mbwa koko mmpe tu ulaji na kuwaacha wenzenu mtakuwa majuha
tulia mama utapata uteuzi huko ccm, achia wenzako uliowakuta wagombeeUsiteseke mkuu
Oops OohsNi mke au mme wa Mdee?
SawaaAliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.
Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.
karibu esterAliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.
Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.
Hajachoka tu kuliwa na wenzake jamani au anatafuta damu mpya?Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.
Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.