ALAFU MTU ANIAMBIE MIE NIANDAMANE NAMI NIKUBALI KUFANYA HIVYO. TULIMPIGANIA KAFULILA NA KUTUACHA KWENYE MATAA, TULIMPIGANIA EDWARS LUEASA HARIMAE KATUACHA KWENYE MATAA. NYIE ACHENI KUFANYA YRNU ENDELEENI KUMPIGINANIA TUNDU LISU MZALENDO WA KWELI.Huyu kabla ya kuungana na Halima Mdee si amewahi huko nyuma kuwa mwana CCM. Kwa hiyo tuseme amerudi nyumbani
Walishatimuliwa hukoNilidhani yeye na Halima wameomba kurudi Chadema? Imekuwaje?
Amandla...
Huyu last 5 yrs alishakuwepo ccm😂😂
Baada ya kumaliza kazi anarudi zake CCM
Kazi gani sasa? Kama IGP na DGIS wameshindwa kazi ya kuwazuia wabakaji na wauaji; sasa Bulaya anamaliza kazi gani?😂😂
Baada ya kumaliza kazi anarudi zake CCM
Nchi gani hiyo na wamesaliti nini?.Lengo la kwanza la mwanasiasa nikupata jukwaa lakufanya siasa na chama cha siasa ndio jukwaa kuu sasa mtu kahama chama unasema amesaliti.kamsaliti nani?.Nakwanini awe msaliti wakati anatimiza wajibu wake.Hizi nadharia mnazitengeneza nyie msioijua siasa.Kwenye nchi za watu wenye akili timamu watu wa namna hii huwekwa pembeni kwani ninwasaliti wenye kujali maslahi yao binafsi
Ni mkeNi mke au mme wa Mdee?
Namkubali sana huyu dada Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
Kama Esta Bulaya anarejea CCM alikotoka, then CCM kaeni mkao wa kula, kuna mwanasiasa jembe la ukweli la upinzani atakuwa yuko njiani kujiunga CCM kwa formular ya "ukiona zinduna, jua ambari iko nyuma"!.
Na kama hili likitokea, nitawaomba tuwape tuu ushiriano wa kutosha niliwahi kuuliza Swali Kuhusu Kulamba Matapishi: Kwanini Iwe ni Kinyaa Wakati Matapishi ni Chakula Kile Kile?!.
P
Huyu sio msaliti, hili ni jembe kazi la ukweli lmerudi nyumbani Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!Kwenye nchi za watu wenye akili timamu watu wa namna hii huwekwa pembeni kwani ninwasaliti wenye kujali maslahi yao binafsi
Naunga mkono hoja Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!Amejiunga lini na CCM? Na huu wakati ambapo Bunge halijavunjwa anakuwa mbunge wa chama kipi?
Mimi naamini kuwa kutokana na kazi nzuri ambayo yeye na wenzake wameifanyia CCM ni lazima watarudi tu Bungeni. Bila wao Bunge lingekosa legitimacy.
Amandla...
Hilo tu!Huyu sio msaliti, hili ni jembe kazi la ukweli lmerudi nyumbani Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
P