GE2025 Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

GE2025 Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawa kina esta matiko/bulaya na msigwa ni bora wakapisha wana ccm ambao hawajawahi kuhama chama wagombee kuliko kwenda kuziba nafasi kwa waliokipambania chama
Hawa wanachaguliwa tu ili kuwa chakula cha wenzao, wabunge wana utaahira fulani.....wenyewe wanakuambia bila ngono na kupiga serekasi bungeni kazi haifanyiki.
 
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.

Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.

Anaenda kupambana ile nyara toka hifadhi ya Gombe.
 
Screenshot_20250628-114331.jpg
 
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.

Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.

Nilidhani yeye na Halima wameomba kurudi Chadema? Imekuwaje?

Amandla...
 
Lissu alisema kuwa wako walioomba msamaha ingawa hakuwataja. Mimi nilidhani Bulaya na Mdee walikuwemo katika walioomba msamaha. Na hivi karibuni tu Bulaya na Mdee wamesisitiza kuwa wao ni Chadema. Labda maombi yao yamekataliwa.

Amandla...

kundi lile la covid hawarudi chadema wale
 
Wajumbe watakuwa wapuuzi kama watapitisha hawa covid waliotangaza nia kugombea ubunge kwenye majimbo. Yaani wana ccm mkipambanie chama chenu halafu aje mbwa koko mmpe tu ulaji na kuwaacha wenzenu mtakuwa majuha
Waacheni wafu wazike wafu wao.
 
Wajumbe watakuwa wapuuzi kama watapitisha hawa covid waliotangaza nia kugombea ubunge kwenye majimbo. Yaani wana ccm mkipambanie chama chenu halafu aje mbwa koko mmpe tu ulaji na kuwaacha wenzenu mtakuwa majuha
CCM ni mali ya M/Kiti wao Taifa. Hivyo usishangae kwa lolote. Ref Gwaji boy na Mpina. M/Kiti yupi wa CCM Wilaya/Mkoa atakwenda against na Mkuu wake tena Amiri Jeshi Mkuu??
 
Kwenye nchi za watu wenye akili timamu watu wa namna hii huwekwa pembeni kwani ninwasaliti wenye kujali maslahi yao binafsi
 
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.

Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.

Namkubali sana huyu dada Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!

Kama Esta Bulaya anarejea CCM alikotoka, then CCM kaeni mkao wa kula, kuna mwanasiasa jembe la ukweli la upinzani atakuwa yuko njiani kujiunga CCM kwa formular ya "ukiona zinduna, jua ambari iko nyuma"!.
Na kama hili likitokea, nitawaomba tuwape tuu ushiriano wa kutosha niliwahi kuuliza Swali Kuhusu Kulamba Matapishi: Kwanini Iwe ni Kinyaa Wakati Matapishi ni Chakula Kile Kile?!.
P
 
Amejiunga lini na CCM? Na huu wakati ambapo Bunge halijavunjwa anakuwa mbunge wa chama kipi?

Mimi naamini kuwa kutokana na kazi nzuri ambayo yeye na wenzake wameifanyia CCM ni lazima watarudi tu Bungeni. Bila wao Bunge lingekosa legitimacy.

Amandla...
 
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.

Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.

Kwa hiyo anaendelea kuchukua mshahara kama Mbunge wa Chadema hadi August 3?


Ila hawa hawajui jinsi wana CCM waliowakuta walivyowapania.
 
Back
Top Bottom