mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Na hakiokosa chaliiiPesa za kuchezea anazo
Huu ndiyo wakati wa kuwapiga hela hawa wanasiasa
Ova
Na hakiokosa chaliiiPesa za kuchezea anazo
Huyu kabla ya kuungana na Halima Mdee si amewahi huko nyuma kuwa mwana CCM. Kwa hiyo tuseme amerudi nyumbaniAliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.
Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.
Macovid -19 wapo pale tu kwa ajili ya kufurahisha wabunge wenzao, huo ndiyo mkataba wao.kundi lile la covid hawarudi chadema wale
Hao hawawezi kuishi bila kuwa na cheo.Lissu alisema kuwa wako walioomba msamaha ingawa hakuwataja. Mimi nilidhani Bulaya na Mdee walikuwemo katika walioomba msamaha. Na hivi karibuni tu Bulaya na Mdee wamesisitiza kuwa wao ni Chadema. Labda maombi yao yamekataliwa.
Amandla...
Esther bwana, bado tu hajachoka kujirusha na wabunge wote wale, au mwenzetu anataka damu mpya?Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.
Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.
Wanaleta Ugwajimanaize hawawezi kupitishwa nipo paleeHawa kina esta matiko/bulaya na msigwa ni bora wakapisha wana ccm ambao hawajawahi kuhama chama wagombee kuliko kwenda kuziba nafasi kwa waliokipambania chama
Wewe muzee vipiNamkubali sana huyu dada Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
Kama Esta Bulaya anarejea CCM alikotoka, then CCM kaeni mkao wa kula, kuna mwanasiasa jembe la ukweli la upinzani atakuwa yuko njiani kujiunga CCM kwa formular ya "ukiona zinduna, jua ambari iko nyuma"!.
Na kama hili likitokea, nitawaomba tuwape tuu ushiriano wa kutosha niliwahi kuuliza Swali Kuhusu Kulamba Matapishi: Kwanini Iwe ni Kinyaa Wakati Matapishi ni Chakula Kile Kile?!.
P
Na mume wake Halima anatimkia wapi?Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.
Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.
Mayalla kwa leo tu maccm yameshatia nia majimbo yote na form yamerudisha. Unauona uhai wa ACT na CHAUMMA kwenye huu uchaguzi? Hapo Kawe mpaka muda huu maccm 30 yameshachukua form.Namkubali sana huyu dada Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
Kama Esta Bulaya anarejea CCM alikotoka, then CCM kaeni mkao wa kula, kuna mwanasiasa jembe la ukweli la upinzani atakuwa yuko njiani kujiunga CCM kwa formular ya "ukiona zinduna, jua ambari iko nyuma"!.
Na kama hili likitokea, nitawaomba tuwape tuu ushiriano wa kutosha niliwahi kuuliza Swali Kuhusu Kulamba Matapishi: Kwanini Iwe ni Kinyaa Wakati Matapishi ni Chakula Kile Kile?!.
P
Malaya la siasa!Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.
Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.
Watajuana huko CCM! Mpaka unajiuliza hawa wanachama wa CCM ni misukule!?Hawa kina esta matiko/bulaya na msigwa ni bora wakapisha wana ccm ambao hawajawahi kuhama chama wagombee kuliko kwenda kuziba nafasi kwa waliokipambania chama
Aliyekipambania chama kashakufa wao wengine hawana impact yoyote Acha wauaneHawa kina esta matiko/bulaya na msigwa ni bora wakapisha wana ccm ambao hawajawahi kuhama chama wagombee kuliko kwenda kuziba nafasi kwa waliokipambania chama
hawastahili kuchaguliwa kwenye kura za maoni ccm, wawaachie wanaccm waliokitumikia chama chao bila kuhamahamaWatajuana huko CCM! Mpaka unajiuliza hawa wanachama wa CCM ni misukule!?
Kazi aliyotumwa na CCM😂😂
Baada ya kumaliza kazi anarudi zake CCM