GE2025 Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu kabla ya kuungana na Halima Mdee si amewahi huko nyuma kuwa mwana CCM. Kwa hiyo tuseme amerudi nyumbani
 
kazi ya mwanasiasa ni kuongoza sio kuleta vurugu
 
Lissu alisema kuwa wako walioomba msamaha ingawa hakuwataja. Mimi nilidhani Bulaya na Mdee walikuwemo katika walioomba msamaha. Na hivi karibuni tu Bulaya na Mdee wamesisitiza kuwa wao ni Chadema. Labda maombi yao yamekataliwa.

Amandla...
Hao hawawezi kuishi bila kuwa na cheo.
 
Esther bwana, bado tu hajachoka kujirusha na wabunge wote wale, au mwenzetu anataka damu mpya?
 
Hawa kina esta matiko/bulaya na msigwa ni bora wakapisha wana ccm ambao hawajawahi kuhama chama wagombee kuliko kwenda kuziba nafasi kwa waliokipambania chama
Wanaleta Ugwajimanaize hawawezi kupitishwa nipo palee
 
Laba yawe maelekezo ya chura kiziwi... Tofauti na hapo hawatoboi...
 
Wewe muzee vipi

Nani yupo kwenye siasa za kuhamahama

Hizo zama zilienda na Mwendazake
 
Mayalla kwa leo tu maccm yameshatia nia majimbo yote na form yamerudisha. Unauona uhai wa ACT na CHAUMMA kwenye huu uchaguzi? Hapo Kawe mpaka muda huu maccm 30 yameshachukua form.
 
😅mjiajiri mean while wao hawataki kuachia mamilioni
 
Hawa kina esta matiko/bulaya na msigwa ni bora wakapisha wana ccm ambao hawajawahi kuhama chama wagombee kuliko kwenda kuziba nafasi kwa waliokipambania chama
Aliyekipambania chama kashakufa wao wengine hawana impact yoyote Acha wauane
 
Watajuana huko CCM! Mpaka unajiuliza hawa wanachama wa CCM ni misukule!?
hawastahili kuchaguliwa kwenye kura za maoni ccm, wawaachie wanaccm waliokitumikia chama chao bila kuhamahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…